letra de moyo - kapaso bkp
[intro]
ah, chunchuu eeeh
shiiii beberuuuu
we ngoja nimwambie nisikilize
hakuna mkate mgumu mbele ya chai
hamuoni skuizi mwenzenu niko bize
hata vijiweni maskani mi skai
we ngoja nimwambie nisikilize
hakuna mkate mgumu mbele ya chai
hamuoni skuizi mwenzenu niko bize
hata vijiweni maskani mi skai
[chorus]
we jamani moyo moyo moyo rudi tena shule
we mana upumbavu wako moyo w-ngu utaniuwa bure
oooh jamani moyo moyo moyo rudi tena shule
we maana upumbavu wako moyo w-ngu utaniuwa bure
[verse 2]
eti ndugu una mpenzi au mpenzi wako mtazamaji
una mchumba au ndo ivo umebaki na sebule
una mpenzi siku nzima simu ameweka chaji
una mchumba hakucheki mpaka umcheki wewe
fadhili ona mapenzi mama nyoko
yanafanya nadeka kama mtoto
k-muacha siwezi changamoto
nakula vya utandu mpaka makoko
siwezi kuchunguliwa na mtu mwengine
yeye nishamzoea
mnayosema nimerogwa mi nakuabali mana najionea
[chorus]
we jamani moyo moyo moyo rudi tena shule
we mana upumbavu wako moyo w-ngu utaniuwa bure
oooh jamani moyo moyo moyo rudi tena shule
we mana upumbavu wako moyo w-ngu utaniuwa bure
[verse]
aya twende mbengele mbengele mbangala mbangala
mbangala pwata pwata mima mtamu kashavulugwa kajizima data
mbengele mbengele mbangala mbangala
mbangala pwata pwata we gigi kashavulugwa kajizima data
mbengele mbengele mbangala mbangala
mbangala pwata pwata mchawi jambo wemevulugwa wamejizima data
mbengele mbengele mbangala mbangala
mbangala pwata pwata madada mama kala hasara wamevulugwa wamejizima data
aya ona juu ya meza yupo,kwa dj yupo
kwa weita yupo ,kwa camera man yupo
ukienda mik-mi yupo ,kwa kapaka yupo
na masaki yupo ,mpaka uswahilini yupo
[verse]
ivi ushawahi k-muona mende
ndo kaganda kwenye ukuta wewe
we kitumbua ukirambe utacharuka wewe
maajabu ya chura tope kapagawa wewe
yani aifinyie kwa ndani utapagawa wewe
[hook]
fadhili ona mapenzi mama nyoko
yanafanya nadeka kama mtoto
k-muacha siwezi changamoto
nakula vya utandu mpaka makoko
[outro]
ooooohooooo shiii beberuu
kapaso hapa g*nius from tanzania
aah wanang wa bkp brand we don mendez kaiza raden
wanakusalimia wakali wa road we chazi boy
mtu kama chajero anakusalimia side p paulo
we jafari wa uswazi aiii mitoto ya kwa dumba
bamkwe we the don anakusalimia big boss ras
we kev touchez aiii mamaaa
letras aleatórias
- letra de break it - pamungkas & the peoplepeople
- letra de tonight belongs to you - original cast of netflix's the prom
- letra de fall in love - caroline kingsbury
- letra de par chez toi - yannickk
- letra de adventorux - asfaldo dianysok
- letra de heartache to heal - sundown saddlers
- letra de good loving - el trino
- letra de el daño que causé - jaf
- letra de the kids - russ
- letra de four thousand - @folkloretaylors