letra de jumba bovu - kapaso bkp
naamka asubuhi namuaga mke w-ngu
ngoja nikaforce tupate kulaa
napiga msakwi nachukua nguo zanguu
sina buti raba mi zangu ni ndalaa
kutoka kw-ngu stend parefu
ila ndio kazi ya mguu yangu
mazoea shida faraja yupo likizoo
kiufupi hayo ndio maisha yangu
maeneo ya chamazi magengeni
si unajua gari za kugombea
nami nina mia tatu mf-koni
nikampooza konda akapotezeaa
nilipoketi kuna ndugu wa imani
nikatoa salamu safari ikaendelea
ile nataka kushuka kituoonii
kuna dada -n-lia kaibiwaa
msalaa
msalaa msalaa msalaa
msalaa kw-ngu
jumba bovu jumba bovu leo limeniangukiaa
jumba bovu jumba bovu leo limeniegemea
jumba bovu jumba bovu leo limeniangukiaa
jumba bovu jumba bovu leo limeniegemea
eeeehh
eeeehh
yako tisa 10 yangu mimi hali tete
sihitaji kuficha napitia changamoto
wasionipenda wanapenda mimi niteseke
sio siri napitia nyingi changamoto
ila sichoki najitahidi pambana
mwili un-z-di choka nafsi inakata
sasa kubwa kuliko hii hapa hii
ndio iliyofanya mimi nasota hivi
kuna siku narudi nyumbani nimechoka
sina kitu mkononi mke anafokaa
eti ohh maisha haya nimeshayachoka
nasitaki chochote mi nataka kuondokaa
napigaje goti itakuwaje kama ukondoka
anapandisha sauti eti nimekuchoka
nikainuka kwa asira nikamshika mkono
nisimame akajivuta akaanguka puuh
eeeeeehh puuhhhh damu tuu
eeeeeehh puuhhhh damu tuu
jumba bovu jumba bovu leo limeniangukiaa
jumba bovu jumba bovu leo limeniegemea
jumba bovu jumba bovu leo limeniangukiaa
jumba bovu jumba bovu leo limeniegemea
letras aleatórias
- letra de let go - black magick ss
- letra de цепь (chain) - reji
- letra de rings on the car - sicily rose source official
- letra de player's fool (who am i?) - elle baez
- letra de снова нирвана (nirvana again) (orchestre version) - soul malon
- letra de human sacrifice - amzbdt
- letra de cristo de geso - toni bruna
- letra de dopamina - fresy franklin
- letra de it could happen - dave matthews band
- letra de hunter vision - yukishir0