letra de kumewaka (remix) - kanzu
i chiefed with mwololo
[hook: kanzu]
k-mewaka k-mewaka (uuuuwu)
k-mewaka k-mewaka (aiyaiyaiya)
k-mewaka k-mewaka (uuuuwu)
k-mewaka k-mewaka (aiiiii)
k-mewaka k-mewaka (uuuuwu)
k-mewaka k-mewaka (asiiii)
k-mewaka k-mewaka (aiyaiyaiya)
k-mewaka k-mewaka
[verse 1: kanzu]
aki, huku k-mewaka
drinks hazibaki, pesa tutapata
ni nairobi water vile tumekata maji
tumebuy quarter tukawacha utiaji
aiii washa, tunapiga shot na buda si kinyasa
ni twa veka (ni twa veka)
tumetoa form na andũ matheka
[hook: kanzu]
na vile
k-mewaka k-mewaka (uuuuwu)
k-mewaka k-mewaka (aiyaiyaiya)
k-mewaka k-mewaka (uuuuwu)
k-mewaka k-mewaka (aiiiii)
k-mewaka k-mewaka (uuuuwu)
k-mewaka k-mewaka (wawawawawa)
k-mеwaka k-mewaka (aiyaiyaiya)
k-mewaka k-mewaka
[verse 2: lilmaina]
dеm ni red flag juu ako snapchat
inshallah hakuna matata
alinivunja moyo buda ita matter heart run (buda ita)
kama glue i’m attached to this paper (i’m attached to this what?)
ambia manzi yako i will see her later (i will see her what, kesho)
simu iko silent take a vibrator
ati sim constant nahitaji calculator (twende)
ngoja ngoja sitaki vioja nanii (vioja)
she can’t be an orphan she calls me daddy
niko kutu hadi kiss siku hizi haisaidii
hata kiss na hug manze sipati
aiyaiyaiya, manze cheki hakuna difference
10k ni kidogo for a weekend
dem ni victoria but haweki secret
anapost kila pahali hadi pintrest
[refrain: kanzu]
ati anapost kila pahali hadi (uuuuwu)
ati anapost kila pahali hadi (aiyaiyaiya)
ati anapost kila pahali hadi (uuuuwu)
ati anapost kila pahali hadi (aiiiii)
ati anapost kila pahali hadi (uuuuwu)
ati anapost kila pahali hadi (wawawawawa)
ati anapost kila pahali hadi (uuuuwu)
ati anapost kila pahali hadi
kila ah, ati kila (uuuuwu)
itabidi ujipime
[hook: kanzu]
k-mewaka k-mewaka (uuuuwu)
k-mewaka k-mewaka (aiyaiyaiya)
k-mewaka k-mewaka (uuuuwu)
k-mewaka k-mewaka (aiiiii)
k-mewaka k-mewaka (uuuuwu)
k-mewaka k-mewaka (wawawawawa)
k-mewaka k-mewaka (aiyaiyaiya)
k-mewaka k-mewaka
letras aleatórias
- letra de mój blok (prosto remix) - prosto label
- letra de deathray - i wanna lose control (uh oh) - deathray
- letra de beer & champagne - jaysh
- letra de varaani - dj kridlokk
- letra de uma dose de mim - karen k
- letra de games & fun - ko (homerton)
- letra de rimamos - embaixada
- letra de master of lonely - globelamp
- letra de #purple$ect - "jose cuervo" - #purple$ect
- letra de you & i - dfekt