letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kitaumana - kanja

Loading...

sema kimeumana: kimeumana!

[intro: kanja]
yeah, kitaumana
oso!

[verse 1: kanja]
ukihepa makarau juu unajua watakuchapa, (kitaumana)
ama unyore kwenye k-meandikwa usinyore hapa, (kitaumana)
ukijaribu kunidiss bana, hiyo ni blunder, (kitaumana)
ama ujaribu k-mess na mbogi ya steve kanja, (kitaumana)

[hook: kanja]
kitaumana, kitaumana, kitaumana, (kitaumana)
kitaumana, kitaumana, kitaumana, (kitaumana)
kitaumana, kitaumana, kitaumana
kitaumana, kitaumana

[verse 1: kanja]
hii mwaka nimeiva, nimekuja na maukali, na sijali, (na maukali, mhm!)
tryna chase the bag so ukiongea shonde mi sijali, (yeah)
nataka kujipeleka mbali
so sitaki watu watiaji, (sitaki)
kama marich kids wa add, westie na membley ndani, (kwanza huko)
mafriends wa consolata joh najua nimewatupa sana, (joh)
so nimeandika mjue vile nafanya
huku nje joh nakazana, (working hard)
tukiwa na alvo joh, bro, ye hukuwa kama brother, (bro)
by the way, nicall unishow we huwa wa kielewane ama tangatanga, (nicall joh)
dp ruto of late maze ameuma nje sana, (amechezwa)
na asipochunga ’22, kitaumana, (kitaumana)
mafans wa -rs-nali lini tutashinda ligi bana, (si poa joh)
tulipewa kadi, na hiyo game, kiliumana, (kitaumana)

[hook: kanja]
kitaumana, kitaumana, kitaumana, (kitaumana)
kitaumana, kitaumana, kitaumana, (kitaumana)
kitaumana, kitaumana, kitaumana, (kitaumana)
kitaumana, (kitaumana)
kitaumana

[verse 2: kanja]
hii ni ya wale waliitisha more, (more)
kutoka kwa boy wenu wa maflow, (maflow!)
ule wa kujimake na wa kujigrow, (yeah)
ule wa oso, just so you know, (oso)
ule wa madame warembo sana, (d-mn!)
ule wa kujipanga, ule mjanja, (mhm)
ule chief mkuu, kamanda, (salute!)
na ukileta ufala hiyo ni matanga, (mazishi)
kwa wale walileta drama juu nimeanza kuuza mangoma, (kitaumana)
acheni umama joh na usupport watu wenu bana, (support bana)
juu add husupport kd, (woop!)
membley husupport karis, (yeah!)
sitaki kuongea mob but i’m getting hyped up for a diss
kitaumana

[verse 3: kinoti, kanja]
kitaumana
kijana wa floor amekam kuwapanga
kitaumana, ukizoea kuleta visanga
nishajipanga, natengeneza mabanger na kanja
na ninacheki masaa zimefika niwagonge neno kipastor
so jua ni kubaya ikifika saa tatu na bado uko nje ya keja
kichapo utapata itapita ya mbwa, acha tuseme tu ni major
red flag, ebu inua kama manzi yako anaishi juja
juu kuna venye nashuku joh hiyo ni mali ya umma, no
kitaumana, kama siku ya kiama, (kitaumana)
kitaumana, kwanza ukileta pang’ang’a, (kitaumana)
kitaumana, si unajua kamenuka, (kitaumana)
verse nimemada, wacha kalale salama

[hook: kanja, kinoti]
kitaumana, kitaumana, kitaumana, (kitaumana)
kitaumana, kitaumana, kitaumana, (kishaumana)
kitaumana, kitaumana, kitaumana, (kimeumana)
kitaumana, kitaumana! (oh-oh)

[outro: kanja]
yeah, kinoti na kanja, back with a banger
(sema kimeumana: kimeumana!)
you are now, listening, to the oso movement

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...