letra de tetemesha - kalimani tha mc
-it’s high time people know their places…
kuna wasee wana-rap fast
na msee anaweza fanya hivi…
kalimani tha mc-
[verse one: kalimani]
kuna vile inakaa ni ka
nitatengeneza ngoma ka mekanika
kitu kama miaka k-mi ama thirty man
kwa party man
hatupendi ma-batty man
na ma-vida zime-shootiwa na handicam
makali system shinda vatican
kalimani, ukitaka kali-cash
na-p-ss the dutch, kitu kama amsterdam! (praah!)
flow better than a water can of holy water
with the kind of heat that’ll make it a little hotter
spit it like two techs
send a message like two texts
better yet, two bells!
hakuna kitu nimebakisha kufanya ndio mjue nani mkali hapa
hali hapa, joh, ni kuchapa rapper mpaka afiche sticker na madigaga!
hii ni game ina elimination
communication inasema mpaka uwe patient
na motivation za kupata picha kwa nation
radio station? kwenye conversation
bamba kwa tenje, jazanga makapa walenje
hepa wasenge…
rwanda vacation!
hata waseme si watanyamaza wateme
bora kwa session mi nachapanga mpaka iishe
hata ikiwa nina pupa za kijana, spidi ni kirasta!
nabarikiwa tu na dua za maulana mpaka ninastammer!
imeb-b-bidi… nimech-ch-chizi…
kwenye b-b-beat hii… mpaka muni-feel…
nikiwa kazini, kama magaidi
ni kudrop bomb ka kikosi ya hewa!
(chorus)
natemesha… natetemesha…
natengeneza ma-flow za twenty-kesho!
natetemesha… natetemesha…
nateketeza kwa show, leteni mbesha! x2
[verse two: kalimani]
i know i sound kinda booshy, ain’t it?
kazi ni kubamba kama movie deadly
hunipendi? basi jua huniwezi
mafan wananipenda kama huu ni mwezi..
ule wa kushikishiana makuku kenchiq
kuambiana eti shika munju baby
nduku seti, ndio useme huku-‘sense hii,..
vocabulary kama mbuku twenty!
fall back ’till am giving you seventy-seven?
eighty-seven? i don’t know!
if ever it’s evident, heavily debted to me
they be depending on heaven for benefits while i be getting better cheddar
and everything!
they speculating over who be the best
ni kama nimelala daro niki-drool kwa desk
who’s the next in line kama queue za mess?
toka nax hadi budapest?
kalimani better be up on your playlist!
jo ni mbali tumetoka tuki-gain this!
kwani nani anadhani ana-weigh this?
heavy lines zinavunja mpaka weigh bridge!
i’m banking on principles and this..
load of sk!ll that’ll make me your favorite!
nimengoja very long to be saying this
nimefika, sorry for the lateness!
hivi vipaza, tukivibamba?
fujo kwa sana… remedy bamba!
danger ki-mamba… tena visanga
nikijipanga… hater kwa mchanga!
niko busy kama business man
nimechizi kwenye thinking and…
nikijifikisha vicinity, visiting
hizi ni vitu zinafanya vichwa viruke easily!
(chorus)
[verse three: kalimani]
representer wa ma-five percenter kenya
set the price any place unapenda
ndio ucheki vile sisi jo hu-bless kwa meda
dedicated tuki-face challengers
every way… the patience? we paid everyday!
a verse a day keeps whack rappers away!
sinister ways they played to be famous and they…
got played out, now they be rotting away!
safe to say, i may make major pay
pop champagne, just to stop the pain..
that we feeling every day when we hustle to break…
just the feeling that we get from percussion and b-ss… (hey)
speaking of confidence, nimejidunga overdose…
si ni obvious!
they rock with us, they share the ciroc with us
ni conc kwa gl-ss biggy ka notorious!
little bit of this, and a little bit of that
’cause i k!ll ’em on a beat and i leave them looking whack!
hundred be the speed that we doing on a track
comin’ with the heat is a feeling that they lack
hata limousine haiwezi fikisha idhaa
hata sarkozy hawezi ongoza hii mambo..
busy body wakifikisha ripoti, si ni ngori
kuwatori, kuwapigisha magoti!
who dare say anaweza do this?
i dare say, toka nje… prove it!
ukiweza utakuwa number two in this
nawanyoa vichwa kavu kama budhist!
khaligraph, voodooseller, chiwawa, nanoma..
labda ndio compe, na bado ni noma
hizo ma-list nilichoka kusoma
na ka kuna dispute, eka kwa ngoma!
-na mnunue album…
square one!-
letras aleatórias
- letra de todos estão surdos - nando reis
- letra de citronella - the guild league
- letra de livin' with lions - the resinators
- letra de gravity - the guild league
- letra de bonus rpk feat. paluch - na bary - bonus rpk
- letra de electric candlelight - gorilla rodeo!
- letra de benzer - benji ewald
- letra de bad jenny - freaky j
- letra de mean it - k!d bam
- letra de jericho - simi