letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de masaa za injury - kalimani tha mc

Loading...

yeah…
kalimani tha mc…
n.a.x..
reign music… let’s get it!

[verse 1]

boom shaka laka, ka ni rhymes i got a lot of them
naskia ma-rapper wana-rap kutafta providence
all depends on the sense you put up on the dollar cent
dream za kibuda, na mikwanja adolescent
all this is just another game to a bro like me
all i mean, you cannot compare to the pro i be
all i see, is a bunch of lames who can quote ice t
nimechoka hii isht (mazeh)… know what i mean?
i’m bringing the future back
this used to be my future track
but now i’m giving this present for you to see how much my youth has p-ssed
truth is that
i’ve been dope tangu enzi za hoobastank
ulizia
tukizithrow wanasemanga tu kame-stank
speaking of which flexx master knows naletanga funk
i’m breaking the beat
xcalibur ni bro na pia ni fan
i’m flipping the script na lazima ni-flow na ma-design
i’m still in the streets
mbazita ki-show kitajipanga

[chorus]

masaa za injury
siweki featuring
kupeleka mbio wadhii watafute multi vitamin
huwezani na hii daddy
nakuja kwa industry
kufanya maajabu wadhii wadhanie ni matimoni! x 2

[verse 2]

mimi n-z-madanga kama slobodan milosevic ama ni butcherman
jovetic ama superman… supermatch kwa ma-supra
ndio unaskianga kamenuka una-feel ka utafyatuka
ujanja za maduka hugeuzwa fala shtuka
huyu jamaa ni mwanamziki ama kazi alikosa?
na naskianga pia ati anakuanga ka-reporter
ndiposa ye huchora vitu ka za harry porter
is all that in order? si hoja
eti video zake huanga zimetw-nga?
ati anaweza hit lakini amelala
ati akienda commercial anaweza fana
na wenye husema hivyo hata hawajafanya
this is all me
i don’t need all y’all interpretation
sounding so basic
how i should be dating caucasian
amazing
you always praise me
when i’m there but behind my back you praise me

[chorus]

[verse 3]

ni kama sa wasee wanajibamba sana
wanafaa kukaa masaa
wasee wanapigangwa na manjora mpaka panga za wazee zinaletangwa
shoka zinatoka mpaka sa wasee wanaonelea kuomoka
beef imenichosha mpaka peace pia ni saucer
the least unaweza nichocha kuniita beast imenitosha
kimziki mimi ni colder u-deady easily na pneumonia
niki-release hiki ki-trojan, na instinct ya kimoda
oh my goodness i’m the realest on the playlist
and if i’m not there then it must have been a g-y list
how can i say this?
how can you debate this?
from earth to ur-n-s this is greatness in your faces
kalimani tha mc
i’m on my way
anybody wanna step up and see, how imma play
’cause it’s time that you recognize me, how imma slay ’em
na ni ninety zime-deady wadhii
sasa ni..
sasa ni..

[chorus]

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...