letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de washa remix - kaboy

Loading...

[intro]
kaboy (sajo on the beat)
enheeee!
wuuuu!
it’s remix baby

[verse 1]
i say
girl you de queen of my kingdom
let me take to my mom wakakuone home
maana kwa penzi lako nishalewa mi nishalewa tila lila wengine mi siwaoni (enhee!)
niweke kwa chupa kama ukitaka
kw-ngu haina hata shida wala mashaka
maana kama kiuno dada unakata
tena unakata mpaka mlume na data (mpaka mlume na data eee!)
dada ntakuonga mapesa ntakupa mapesa
ukiniacha ntachekwa maana mi nitachekesha
usiku ntakesha
niki weweseka
basi nakuomba tuliza pepe na wenge (enhee!)
mpenzi nipende nipe penzi tamu kama tende
mbali nami usiende
maana ushani washa washa washa washa

[chorus]
watagwani washa aaa (ahhh mama sita)
una mahaba kama yote umeninasa aaa (ahhh mama sita)
watagwani uwa uwa aa (ahhh mama sita)
una mahaba kama yote umeninasa (kwako baaasi)
[verse 2]
amesha uwasha na kuuzima (ni moto uoo!)
kwa heshima na tahadhima (ni toto ilo!)
lake body si la kichina (yake miuno!)
kama feni ya kuazima (enhee! hatari umo!)
kama kinu anatw-nga na kupepeta
la mdimu langu joka la cheka cheka
ni wazimu kwa baridi hatuvai sweta
sio siri mi nakiri ameniweza
ashanitekaaa kua nae ni furaha furaha furaha
kwake nishajiwekaaa maana sipendi karaha karaha karaha (la la la la la laa!)
baby girl binuka
shika na ukuta
inama inuka
misamba pasuka
ruka juu banjuka
fanya ka unasusa
washa washa washa washa

[chorus]
watagwani washa aaa (ahhh mama sita)
una mahaba kama yote umeninasa aaa (ahhh mama sita)
watagwani uwa uwa aa (ahhh mama sita)
una mahaba kama yote umeninasa (kwako baaasi)

[autro]
uwuuu wuuuu uuuuu!
mhhhh!
aghhhh!
uwa uwasha
wasa wasa
medy mo oo lin
ahh mama sita
kwako basii

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...