letra de wanapenda (ft. bundi skrt) - k son rap
wanasema wanapenda nikirap../wanapenda kuskia kwenye interviews nikichana capella mbona fresh tu../siongei sana kama chiriku..kirikuu..kila siku tuna party kama sikukuu../scoobydo..wapenda kuniskia kwenye radio stereo../ wanapenda kuniona kwenye video..wanapenda navyoflow..kama chid go..chid soo mad flow.. kad go../wanapenda penda navyo score..kwenye stage kwenye show..wanapenda nikipewa ata collabo../mpaka majogoo yani kama dingo jungle..watu w-ngu wanapenda navyo shine wananipa tu michongo../wanao hate sina hata kinyongo..mkinibana fan’s wataandamana na mabango..yote nisababu ya mapendo../
wanapenda navyospit..wanapenda navyonata juu ya beat../kama nyani juu ya miti..wanapenda harakati..wote tunapenda haki../naipenda africa..naipenda ngozi nilivyo black../i do it for the love kama pac..hatua kama nyati../nawapenda mashabiki..naipenda hiphop inapendwa rais../huu upendo ni wadhani bila chuki..paparazzi wananapenda info zangu kila siku kwenye front page../wanapenda kuniona kwenye stage..only god can judge../wanapenda na vyoswitch kilasiku naji upgrade../
letras aleatórias
- letra de never see you again - thesanity
- letra de fuorisede - la band del cactus
- letra de greedy things - william ryan fritch
- letra de deadman - klaus noir
- letra de 어땠을까 (dear my friend) (romanized) - agust d
- letra de días - ave (grupo)
- letra de kampdruk med oldemor - so far so fus
- letra de running to you - iamjakehill
- letra de siempre muero en mis sueños - sam crutcher
- letra de ареалы - unami