letra de nakataa - k son rap
yoh! unafki nakataa fitna majungu nakataa../
i believe in jah..mambo ya kuloga nakataa../chapa kazi kama adili uvivu nakataa/ushemeji wa mchongo man fongo nakataa../ukiona nipo kimya sij-piga hata simu uje ndo tayari nshakukataa uliza ommypa../mshamba ukizubaa kwenye mataa..nakukataa../mi ndio top in dar watoto ni wadogo nawakataa../nakemea kama pastor mapepo na nakataa../ukiniletea ustar wenu wa mabantu nawakataa../wapenda kiki wanaotaka kutrend nawakataa/sina chawa mi ndo one man army..habari za kiota.. nakataa/madawa ya kulevya ndo kabisa nakataa/mikosi mabalaa wazushi nawakataa../zinazojiita pisi kali zinavaa nusu uchi…(nakata x2) zinasambaza tu virus (nakazikataa)../pata chanjo kujikinga na corona vaa barakoa..(msongamano) nakataa/ukinileteaa usela mavi ndo kabisa hunifai nakukataa/hii ni hiphop mambo ya kiwaki nakataa/
asihusika na show bora tu ashuke mashabiki wamekataa/
umimi,umwinyi,udini,ubinafsi nakataa../
mjamaa..ubepari ukoloni mambo leo nakataa../unaweza ukapelekwa mahakamani kizimbani na bado ukakataa../sanaa bila manufaa nakataa..nitabaki underground kwenda mainstream nakataa../ukinizingua nakuzingua..acha upendo utuongoze ka lugombo nakataa../
hili beat naliganda kama ruba kuiacha boombap nakataa../
letras aleatórias
- letra de knocked out (pettibone 12") - paula abdul
- letra de bk - luisss
- letra de hojas de papel - digital vvaves
- letra de goku - totô de babalong
- letra de bag o' bones - unaverage gang
- letra de nonstop - lil kobra
- letra de i’m going changing - augusta
- letra de 그때 우리 (at the time we were) - j.fla
- letra de never be the same - j.fla
- letra de black from blue - doses