letra de umenikamata - jux.
nisikilize ninavyoimba (imba)
na pia navyopiga gitaa
naona watu wamependeza
nyuso zao zimejaa furaha (furaha,ahhh)
najua ujue leo hii
kitatokea nini
najua ujue leo hii
nitakuambia nini (nitakuambia nini,darling)
(chorus)
i do these for you (these for you)
i do these for you (these for you)(i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you (i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata weee
umenikamata x 4
haki ya mungu wewe ni mzuri
you are so beautifull
na mungu kakujalia
huna chembe ya kiburi
wewe ni msafi wa roho
i dont wanna let you
go
i wanna marry you
girl and nothing comes between us
am gonna give you
my loving and make them
wanna be us
(chorus)
i do these for you (these for you)
i do these for you (these for you)(i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you (i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata weee
umenikamata x 4
(bridge)
mamy namuomba mungu
akulinde (akulinde)
akutunze na watoto uniletee
wewe ni furaha yangu (yangu)
maisha yangu (ni wewe)
ni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata wee
umenikamata x4
letras aleatórias
- letra de guru ramdas rakho sarnaee - mirabai ceiba
- letra de victory - don hidalgo
- letra de laventur - jyeuhair
- letra de in solitude - cold hart
- letra de não fico sem voar - benny broker
- letra de nothing but love - silly dylan
- letra de woman with the strength of 10,000 men - live on kcrw - peter himmelman
- letra de punkt 1 - klotzs
- letra de 6ghxstk - t.j.
- letra de dangerous - thick as thieves