letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de sugarcane (ft. gnako & tommy flavour) - jux.

Loading...

nasema njoo njoo my boo
nikupe kipendacho roho
umenivuruga hamu so full
nisikize mimi nikupe show

kam kam nikupe tam tam
tupeane zam zam
nateseka na love love
i love the way you shake
you ghetto to rest
maybe test, ni balaa

wana maneno shombo ni kinyaa
mahaba niuwe kishujaa
kwenye shida na raha
vile utakavyo mi nafaa
mlimbwende we ni kifaa

i feel so good the way you do
mimi nikiwa nawe nipe tena round two
all eyes on you
nataka niwe nawe tu baby

lemmi be your sugarcane
sweeter than them
lemmi be your sugarcane
sweeter than them
lemmi be your sugarcane
sweeter than them
lemmi be your sugarcane
sweeter than them

sitakuchezea mama tutadumu
kulinda penzi lako kw-ngu ni juk-mu
wapoteze watakupa sumu
kisha togombane mama una vumu

mapenzi matamu yako magumu
sitaki nikosee kesho unihuk-mu
mapenzi yote weka humuhumu
usije nipiga chini nitakunywa sumu gal

nishakuwa na wewe yeah ah
wewe umeniweza
sioni mwingine zaidi ya wewe

lemmi be your sugarcane
sweeter than them
lemmi be your sugarcane
sweeter than them

lemmi be your sugarcane
sweeter than them
lemmi be your sugarcane
sweeter than them
kamua kamua
kamua kamua
kamua kamua
kamua kamua

fumba kama murder scene
ugonjwa w-ngu nipe medicine
nabaki kuja i want again
nisambaratishe bila deni

nibadilishie ego girl
hali yangu si magendo girl
mjengo mpya sisi wageni
tuna majirani ni noma ne
rock your body (rock)
rock your body

lemmi be your sugarcane
sweeter than them
lemmi be your sugarcane
sweeter than them

lemmi be your sugarcane
sweeter than them
lemmi be your sugarcane
sweeter than them

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...