
letra de si mimi - jux.
[intro]
heyyyy yee
yeyi yeee
[verse 1]
eh nitazunguka dunia
nitangaze sifa zako, uzuri wako
siwezi fanya siri
wanibebeshe gunia
na zote dhambi zako, sumu yako
imetawala mwili
[pre-chorus]
si mimi
ni akili yangu
si mimi
ni moyo w-ngu
si mimi
ni mawazo yangu
si mimi
labda roho yangu
[chorus]
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
eeeehh
oooh
aaah
[verse 2 ]
we ndo daktari
mponya maradhi, yani kama zali
zali la mentali
nakupenda kweli
hilo liko wazi, jua ukinitupa
utaniachia simanzi
[pre-chorus]
si mimi
ni akili yangu
si mimi
ni moyo w-ngu
si mimi
ni mawazo yangu
si mimi
labda roho yangu
[chorus]
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
letras aleatórias
- letra de bound to break - xinclair
- letra de relojes reventados - ysy a, sponsor dios & oniria
- letra de jaga - hariki
- letra de topo gigio - darren isaiah
- letra de не прав (wrong) - $xuja
- letra de земля (earth) - seemee
- letra de rozpędzona - temresa gwiazdunia
- letra de meh (remix) - yungmoneyxd
- letra de love my daddy - mckinsey anne
- letra de dyecmo - quest (ph)