letra de mapepe - jux.
verse:1
labda uliza moyo w-ngu
ndo umenifanya mi nifike mapema
mama uliza moyo w-ngu
unavyonitesa imenibidi kusema (eeh)
pre-chorus:
zamaaaani
toka zamani mama
nilikuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani
(aaaah aaaah aaaaah) usikatishe penzi ghafla
ndo kwanza penzi letu linanoga tu
kama shida wote tumepata
sasa unachokitaka unakipata boo
(boooo boooo) usilikatishe penzi letu
maana kwanza linanoga tu
unachokitaka unakipata sasaa ?
chorus:
aaaaaaah mapepe ya nini ? pepe
mapepe ya nini ? pepe
mapepe ya nini ?
nishatulizana nawe punguza mapepe
aaaaaaah mapepe ya nini ? aah pepe
mapepe ya nini ? pepe
mapepе ya nini ?
nishatulizana nawe punguza mapepe
vеrse:2
mama serebu__
african mama serebu__
mziki unamata shebeduka
napenda ile vidole uking’ata macho juu
yako thamani, ni zaidi ya dhahabu
nafanya hisani, usije pata tabu
pre-chorus:
zamaaaani
toka zamani mama
nilikuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani
(aaaah aaaah aaaaah) usikatishe penzi ghafla
ndo kwanza penzi letu linanoga tu
kama shida wote tumepata
sasa unachokitaka unakipata boo
(boooo boooo) usilikatishe penzi letu
maana kwanza linanoga tu
unachokitaka unakipata sasaa ?
chorus:
aaaaaaah mapepe ya nini ? pepe
mapepe ya nini ? pepe
mapepe ya nini ?
nishatulizana nawe punguza mapepe
aaaaaaah mapepe ya nini ? aah pepe
mapepe ya nini ? pepe
mapepe ya nini ?
nishatulizana nawe punguza mapepe
outro:
acha iendee
acha iendee
punguza mapepe
letras aleatórias
- letra de halt' mich fest - daniela lorenz
- letra de la 69 - jenny69
- letra de it's a terrible pain - rio thomas
- letra de twenty one* - area21
- letra de sanjeeda - yas the underdog
- letra de un paseo más - rojuu
- letra de the first ain't the last - the garages
- letra de palazzo pants - the only carnell
- letra de take a chance on love - john o'banion
- letra de не в тай ( not in thai) - kvollo