letra de incase you don't know - jux.
ni maradufu
upendo wako umenifaa
ni maradufu yeah yeah
uwepo wako umetawala
nikiwa peke yangu (bado bado)
sijakamilika (bado)
hata mipango yangu (bado bado)
inavurugika (bado)
hakuna anaezidi kwako mama
nguvu ya mapenzi yako balaa
umenifanya nijione bora
bila weeh mi siwezi ng’ara
hakuna tena zaidi yako mama
nguvu ya mapenzi yako balaa
umenifanya nijione bora
bila we mi siwezi ng’ara
(no-no)
incase you don’t know
nitacheka nawe nitacheza nawe
nitaimba na wewe
incase you don’t know
nitaringa naye nitakwenda nawe
popote my baby
incase you don’t know
nitacheza nawe nitaimba nawe
nitakwenda na wewe
incase you don’t know
nitacheza nawe nitaringa nawe
incase you don’t know
inaweza kuwa fresh ka una time twende mahali out
au ka inachosha usimind naweza kaa kwa couch
nitry kukuimpress ata smile baby angalau
na tunatesa hii town tunairun wallahi
mahater wanakesha wakitry kubring huyu love down
usikuwe na presha sit down let me run my mouth
isikuogopeshe ikisound kama wedding vows
tumie location ucome mahali pia tulounge
night ikuwe special surround sound movie loud
doobie loud cause you are loud ata bila party(it’s a party for two)
my mission is to always stay true
live to see my dreams come true with you oooh ooh ohh ooh ooh ooh
i smell the wine on your breathe
then you turn around and wine by yourself for me
you got me trying to resist
i pay no mind to the rest
na nakuanga nmek-mind you’re the best for me
you pretty bum look now you make me love you
now let me remind you i tell you
incase you don’t know
nitacheka nawe nitacheza nawe
nitaimba na wewe
incase you don’t know
nitaringa nawe nitakwenda nawe
popote my baby
incase you don’t know
nitacheza nawe nitaimba nawe
nitakwenda na wewe
incase you don’t know
nitacheza nawe nitaringa nawe
nasema miii najivunia kuwa na weeh
kwa furaha unayonipa nipa darling
oooh ooh
nasema miiii najivunia kuwa na wewe
kwa furaha unayonipa nipa babyyy
weeeeeh
incase you don’t know
nitacheka nawe nitacheza nawe
nitaimba na wewe
incase you don’t know
nitaringa naye nitakwenda nawe
popote my baby
incase you don’t know
nitacheza nawe nitaimba nawe
nitakwenda na wewe
incase you don’t know
nitacheza nawe nitaringa nawe
incase you don’t know
letras aleatórias
- letra de 그라타타 (gratata) - hot issue
- letra de without you here - relentless flood
- letra de glass - charlie cunningham
- letra de walk in the sea - lesley duncan
- letra de bombay - splashy.check
- letra de tu peor miseria - vida
- letra de wind of change (live) - peter frampton
- letra de dream a little dream of me - joni james
- letra de goodbyes - calling the crows
- letra de top notch - namebabyboo