letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de i need you - jux

Loading...

[intro]
ooh yeee yeee ye
eeeeh eeeh eeeh
ooooooh
jay once again! again

[verse 1 : jay melody]
kama kuniita
niite nitaitika
niwe kinondoni
mwananyamara tandika
ata kwa miguu baby
mie haraka nitafikaa
mwenzako nikikuona
moyo w-ngu unapwita

[pre-chorus : jay melody]
ah wu wu wu wu wuuu
niite kwako tunywe bia (aaaah aah ah)
kwa maana ukijifanya unioni
mie mwenzako nitaumia (aaaah aah ah)
wu wu wu wu wuuu
niite kwako tunywe bia (aaaah aah ah)
natukae mpaka morning
nakutania tania (aaaah aah ah)
[chorus]
nanikuambie ukweli tu
i – i – i need you
baby nikuambie ukweli tu
i – i – i need you
ah nanikuambie ukweli tu
i – i – i need you
baby nikuambie ukweli tu
i – i – i need you

[verse 2 : jux]
zombieoooooh
iyeyeyeee
kuhusu mapenzii
nimeshakuwa sisikii
nimeshakuwa kisikii
na hata kung’oka
mkitaka sing’okii
mmmh
ukweli siwezii
kwenye hii dunia kuishii
bila ya penzi lako
mwenzako nitakufa
nitazikwa mazishii

[pre-chorus : jux]
uh wu wu wu wu wooo
niite kwako tunywe bia (aaaah aah ah)
kwa maana ukijifanya unioni
mi mwenzako nitaumia (aaaah aah ah)
aah wu wu wu wu wuuu
niite kwako tunywe bia (aaaah aah ah)
natukae mpaka morning
nakutania tania (aaaah aah ah)
[chorus : jux]
nanikuambie ukweli tu
i – i – i need you
baby nikuambie ukwеli tu
i – i – i need you
baby nikuambie ukweli tuuu (nikuambie ukwеlii)
i – i – i need you
nikuambie ukweli tu
i – i – i need you

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...