letra de ni wewe - justo asikoye, jabali afrika, samaki mkuu
eeey
uuuh
nakupenda
mpenzi w-ngu
eei
ni wewe nilichagua
ni wewe nilipenda
ni wewe moyoni mw-ngu
ni wewe mpenzi w-ngu
rafiki w-ngu wa dhati
nakupenda
x2
your eyes are the most beautiful blue
the prize i’ve won in life is indeed you
i surmise that no doubt that such is true
it’s no guise, everyday to me you rise in value
wise beyond your years, it’s you i look up to
the highs are many, and the lows are few
action you catalyze, fun you do imbue
uncertainty you stabilize, energy you renew
now i realize we’re connective tissue
as sadness and cries you always subdue
me you mesmerize like a shimmering dew
affection you exercise to jump this kangaroo
ni wewe, k-mekuwa hivyo milele
ikiwa kuna kimya au kelele
what to do, it’s always been you
it’s a hard fact that i love you
aaai
tumetoka mbali na wewe
milima tumepanda
miteremko tumeshuka
maishani
nimeteleza matopeni
ukanishika mkono
ukanivuta nje
mpenzi
ni wewe nilichagua
ni wewe nilipenda
ni wewe moyoni mw-ngu
ni wewe mpenzi w-ngu
rafiki w-ngu wa dhati
nakupenda
kutayarisha chai, kunipa joto usiku
unanionyesha udhaifu kuwa nguvu
ukiweka yai kabla ya kuku
mpenzi nakudai unaleta bahati kw-ngu
unang’arisha uhai, ninafahamu
sababu walai zinzazozuia taabu
naota kuzekai kuwa nyanya na babu
kutunzai, kufunzai wajukuu
warastafari wanasema vitu
vya maanai vinaundwa na jitu
kuheshimu dunai ni muhimu
sisi si tofautai ka chungwa na dimu
ni wewe nilichagua
ni wewe nilipenda
ni wewe moyoni mw-ngu
ni wewe mpenzi w-ngu
rafiki w-ngu wa dhati
nakupenda sana
letras aleatórias