letra de brother man - juma nature
[verse 1:]
wapo washkaji wengi wana dili za kuunga unga lakini hizi dili ni mradi watafune mpunga
mzee wa pamba kila siku golini habanduki anafahamu fika kuwa bila hela hanyanyuki
huk-mbuki siku zile tunapiga ndondo vijiweni?
ulivyokuwa zamani hukuwa unafanya haya na kila ulilokosea kwako uliliona baya
basi leo tueleze kama unakuponza umalaya na uta (?) ukishapita mwaka huu
uzi ni ule ule unichukie mpaka udate
ukirudia rudia tena nisikuone unaniomba mkate
mkate ni ushauri wanaotoa watu wachache
mbembeleze mshkaji akileta ubishi muache na kwenye dili zetu mshkaji naomba asitufate
kwani nimefanya nini washkaji mbona mnani ziba ridhiki
ridhiki si ridhiki mjomba unatengeza dhiki unashinda nyumbani mpaka (?) anakuchimba biti
tushakufichia siri ndugu yangu tushaanza kuchoka kwanza dharau kwa wakubwa na mdogo yeyote yule
matusi kwako (?) kwa ajili ya vihela vyako vya kwenda kubadilisha mboga’ kama shoga
kidogo juzi ufumwe unamchungulia mke wa mtu’ na wakati unajua sumu
naona sasa maisha hivi sasa anayachezea na pengine (?) kujifanya anasema wenzake
…aaaah, kama vipi vipi mshkaji tumchukulie
dunia ni kama kamba kwenye gorofa ikakatika’ na kuacha walioicheka wakiwa wamekasirika
nikisema habari, we sema kwenye kazi sichezi
nikisema ugali, we sema kuacha siwezi
haya haya haya haya kuzunguka ndo kwenye kwa wale watu wa tanga ningependa mseme heye
k-mwacha mshkaji awe anajisema mwenyewe akiacha (?) na akishindwa ataacha
[chorus:]
acha u-brotherman >> brotherman
kwanza fanya kazi >> fanya kazi ukishapata kazi ( sometimes like this- )
ndio uanze u-brotherman >> u- brotherman
acha u-brotherman >> brotherman
kwanza fanya kazi >> fanya kazi ukishapata kazi ( sometimes like this- )
ndio uanze u-brotherman >> u- brotherman
[verse 2:]
yo, majani waache waseme nadhani’ wakishindwa watanuna
“yaani wanawake wana kula tu wanavaa basi na kupiga mizinga ukimnyima aseme unaringa”
sasa huo si ujinga babu unatafuta sababu mbona washkaji freedom camp wanauza mitumba na mbona kina (?) wana change mavumba
maisha yatakushinda utajiona unacheza mkinda usikate tamaa maisha ni kugangama na ndio maana umezaliwa mwanaume yaani ina maana ujitume
sio (?) be boss tu boss (?) sogezeni tofali nanyie mpate kusikia anavyofanya mshkaji bro asiyesikia
jifunze ujanja achia njia tukufundishe haraka mtoto usibishe
baby baby baby
sikuhizi shibe na wazazi wako wale washibe ukishindwa shamba mwanaume ukipata utatamba
mwenendo wa bu(?) mashairi yangu hayana chuki mwanaetu unapotea mshkaji wala ush-tuki
unatamani vikubwa na wakati huna uwezo navyo ndo maana nimewaita washkaji waje tu-discuss kwa ajili yako mshkaji unayepoteza wakati
u-brotherman tabia na si uzuri wa mavazi ‘fanya kazi
si lazima uajiriwe wapo wengi tusio ajiriwa wote (?) tunasaka tunatafuta uzima na baraka
likija dili tu twika mchanga ( mwake )
likija dili tu tuuze mtumba ( mwake )
na hata likija dili la kwenda kuuza samaki utakuja shangaa hakuna mtu maskani amebaki’ utabaki pekee yako
unajenga, unabomoa?
unafurahisha, una tuboa?
chakarika unazubaa nini mwanaume unataka ki-mini haya cha nini?
mshkaji kuwa makini >> wewe
[chorus:]
acha u-brotherman >> brotherman
kwanza fanya kazi >> fanya kazi ukishapata kazi ( sometimes like this- )
ndio uanze u-brotherman >> u- brotherman
acha u-brotherman >> brotherman
kwanza fanya kazi >> fanya kazi ukishapata kazi ( sometimes like this- )
ndio uanze u-brotherman >> u- brotherman
[outro:]
yo! sir nature, wouddap?
kama kawaida makamuzi yale yale babake >> mpaka kunakucha…
ausio?
enhe’ ngoma ishanyepa imeondoka juu kwa juu ausio bwana
yeah, u-binadamu kazi, ah
one time for juma
uh huh, uh huh
w-w- uh huh- w-
wanaume!
uh huh
( laughing )
rori rori rori rori rori wi ( haha )
rori wi, rori wi, rori wi, wanaume family rori wi
t.m.k. for real man ( haha )
kama kawaida baba
letras aleatórias
- letra de die faster - antropolita
- letra de stick and move - cartier'god
- letra de finale - bread the artist
- letra de thetahealing - zudizilla
- letra de all or nothing - thunderforge
- letra de yandım - the eyl
- letra de you - grip
- letra de lewa noga - antua (pl)
- letra de pr & br - lifeofred
- letra de pirates' anthem - home t