
letra de kosa langu - josco boy
uuuuh oooh aaa josco boy
kosa langu , kosa langu mimi oooh
kosa langu , kosa langu mimi aaah
kosa langu , kosa langu mimi oooh
kosa langu , kosa langu mimi aaah
kosa langu , kosa langu mimi oooh
kosa langu , kosa langu mimi aaah
nilikunyima raha aah
nikakunyima amani
nilikunyima raha aah
nikakunyima amani
wala hata sikujali kuhusu wewe ooh
wala hata sikujali kuhusu wewe aaah
nilijali kuhusu pombe
nikajifanya eti najuwa mengi
ila yote yaliwa ni masiara tuuh
kosa langu , kosa langu mimi ooh
nilijifanya najuwa sana , oooh
kosa langu
kosa langu , kosa langu mimi ooh
nijifanya mjanja sana mimi ooh
kosa langu , kosa langu mimi aaah
kosa langu , kosa langu mimi aaah
sikujali kuhusu wewe aah
kosa langu , kosa langu mimi oooh
kosa langu , kosa langu mimi
kosa langu , kosa langu mimi ooh
kosa langu , kosa langu mimi ooh
sikujali kuhusu wewe aah, aah
ulinipenda , nilikupenda aah ooh
ulinijali , ila mimi sikujali ooh
ulinijali ila mimi sikujali kuhusu wewe eeh
kazi ilikuwa tu ni pombe , nikeshe mitaani
kazi ilikuwa tu ni pombe , nikeshe mitaani
huko tu mimi , nika enjoy maisha
sikujali , sikujali sikujali kuhusu wewe eh
kosa langu , kosa langu ooh
tatizo ,tatizo sikujali kuhusu wewe eeh
kuhusu wewe oooh
kosa langu , kosa langu mimi oooh
kosa langu , kosa langu mimi aaah
sikujali kuhusu wewe oooh
sikujali kuhusu wewe aah aaaaah
letras aleatórias
- letra de frozen 2 - dj kenn aon
- letra de ayakata - illbliss feat. falz
- letra de den of vice - washed up wings
- letra de street operator (demo) - pulp
- letra de lola - omar enrique
- letra de feel me doe - towkio
- letra de like this - jc assassin
- letra de man down - boogie
- letra de outta my mind - kree harrison
- letra de ghosts - pontiak