letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mshindi - jerebet

Loading...

verse 1
nilipokua kwenye njia
nilianguka time and time again
hukuniwacha kwenye shida
ulinishika mkono time again

na umecome through, through
kwa kila kitu
maishani mw-ngu nimekuona mungu
‘kuwa mtrue, true
kwa kila kitu
maishani mw-ngu nimekuona mungu

wema wako na fadhili zako
zimenifunikia
wema wako na fadhili zako
zimenifunikia

chorus
wewe ni mshindi, we, wewe ni mshindi
wewe ni mshindi, we, wewe ni mshindi
wewe adonai, we, wewe adonai
wewe ni mshindi, we, wewe ni mshindi

verse 2
na utatayarisha farasi ya siku ya vita
na wokovu ni wa bwana, adui hawezi
nakuabudu, nakuhеshimu
na silaha za adui ni vyombo vya mungu
i’m so grateful, thankful
for the battles that you fought for mе
i’m so grateful, thankful
for keeping your promises

na umecome through, through
kwa kila kitu
maishani mw-ngu nimekuona mungu
‘kuwa mtrue, true
kwa kila kitu
maishani mw-ngu nimekuona mungu

wema wako na fadhili zako
zimenifunikia
wema wako na fadhili zako
zimenifunikia

chorus
wewe ni mshindi, we, wewe ni mshindi
wewe ni mshindi, we, wewe ni mshindi
wewe adonai, we, wewe adonai
wewe ni mshindi, we, wewe ni mshindi

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...