letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de fundi mitambo - jcb watengwa

Loading...

[verse 1]
kuna muda kama huu ‘na muda wa sekunde
muda wa majuu na muda wa kipupwe
muda wa nafuu na muda wakauzibe
na waka ka kifuu ‘ukileta kauzibe
hakuna kung-fu niko na usinge
napiga “pah puh” ukileta ya ki-(@)#$?)
bado one, two ‘bila prado, babu
kamili gado, raha tu
yaani (?) babu ‘kula agano ka kitabu kama mnene mwa kitabu
songa mbele, bwana ‘jeshi isiwe tabu
ikiwa kelele ujuwe umechoma makushabu
usiwe ng’edele kujipigisha bila sababu

[chorus]
nimefanya hii mambo kitambo ‘wamenipa jina la fundi mitambo
nime rap toka (?) kitambo ‘ninafaa kuwa fundi mitambo
nimefanya hii mambo kitambo ‘wamenipa jina la fundi mitambo
nime rap toka (?) kitambo ‘ninafaa kuwa fundi mitambo

[verse 2]
msituni nakotoka ‘mwituni kuna nyoka
goliati kadondoka kwa panga moja shoka
najipanga bila kuropoka, bila kudondoka kwenye chati
mi sio snitch, mi sing’ati
fundi sio mlafi
mitambo malighafi
kitambo bila unafki
mgambo tambaa na chaki
mtambo umedata, ma whack toka kitambo, andaki
tunafanya vijimambo tu baki
nini na nini, ‘mi sitaki, mambo ya kushikana mashati
sijui mashati (?) (uh-huh)
nitabaki mtu baki fundi niruke juu kama bundi
nitue, ninate kama gundi (uh)
nikusanye makundi kiturutumbi, niwajaze kwenye uk-mbi kwa disco vumbi kama k-mbik-mbi
kiufundi mi ni fundi, ukibisha
namch0m-a (?)
[chorus]
nimefanya hii mambo kitambo ‘wamenipa jina la fundi mitambo
nime rap toka (?) kitambo ‘ninafaa kuwa fundi mitambo
nimefanya hii mambo kitambo ‘wamenipa jina la fundi mitambo
nime rap toka (?) kitambo ‘ninafaa kuwa fundi mitambo

[interlude]
eh bwana eh
huu mtambo; mtambo wa makalla
huu mtambo watu wengi sana wamepita kwenye huu mtambo
live from the underground ‘kichakani high smoke, general

[chorus]
nimefanya hii mambo kitambo ‘wamenipa jina la fundi mitambo
nime rap toka (?) kitambo ‘ninafaa kuwa fundi mitambo
nimefanya hii mambo kitambo ‘wamenipa jina la fundi mitambo
nime rap toka (?) kitambo ‘ninafaa kuwa fundi mitambo

au vipi?

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...