letra de street bars - jayna
verse: (massd)
tumetoka kwenye nyumba za udongo
pisi za uswazi zina date na vigogo
pisi za mashavu ghetto zinapigwa logo
tip tip top rchuga on top
cl!ck cl!ck trigger f–k fake n-gga
si cheki na replay si act na react
si cut na remake si copy na si paste
umemcheck x nyumba imebomolewa
hatuamii dar na nasikia mnanielewa
sizamii chaka lina msafara wa kenge
njoo umwone x kinyozi ananyolewa
sema! njoo umwone x wako vile anavyoliwa
ukidata na vina basi tunakukopesha
upinzani shobooh sifa za kise…..
dizain hakuna mw-nga kuna pisi za kijenge
ramani ya arusha ina saa na mwenge
wasaa wa hip hop nashuka na berenge
ita ambao
nawabalansia shobooh
usichezee mbali check unga robo gheto a_town tuna roll ka miami
rock na masela me na roll na ma niccur
sauti za gun ak47 tuna hussle doh n-ggar 247
no kick no snare goodbyee bin laden
wana nikitimba wana wakawaka
kibaka ukikatiza hapa ni ma mbata
street nakotoka kutani kuna chata
pair za viatu zina hang kwenye wire…..
verse: (jayna)
na hatuna stimu na stimu za kikazi
na hatuna tema kuu jeshi moja pia kizazi
mjini zao kuu kifo cha kuku kama kiazi
na tutabaki juu kama pierre hio iko wazi
beat zinatujua mpaka jina
losers wanajua si ndo winners
majani yanaungua si ndo shina
bila mfungo tunawafungua kama dinner
akiba ya uongo kwenye mchongo pia ni ukweli
tumeumbwa kwa udongo si ndo udongo wenye seli
hakuna ufyongo vunja mgongo haina kufeli
hatutumii mkongo si ni michongo za kideli
africa mpaka kote tunafikafika
duniani bara zote tunashikashika
tuna tabia mbaya tunachoma sana verse
hii saa ni mbaya ka unafeel basi pima
wasanue wana wanaoraprap
promo zinawabeba wanastuckstuck
waambie tuko lit we don’t stop
street hakuna peace kati ya watu na macops
pepesa kope tunatengeneza pesa
teketeza flow hatuna bembeleza bro
tushawekeza muda wa kuchana na kuflow
in my gang gang gang
tuna bang bang bang
so we game game game game
we k!ll the same same game
verse: (czzle)
from the trench nakwambia hali tete for real nasipp syrup ili nisiwe mpweke
i’m not tripping i’m trynna get my millions
nachelewa court n-n-su nihit civilian
wake up wake up, voices in my head zanijia, zaniambia kamua mpaka uwe na bentley
this how we pop, nikitangulia plug zingatia hisia kwa wanangu wala mpepe
situna kauli ya mtaa kutoboa nilazima hata tulale na njaa leo we don’t mind
i’m the same n-gga who your bro traded on me
pt likaja nipitia pindi niko ma g nimechill na my g’s but look now i’m free
sihitaji jeshi kubwa ili niwe on top of the city
sitoku shoot, you need to die slow
kivipi unasiliti real g’s kisa mshiko?
mtoto wa mtaa nauzijui hata street codes
hutokaa ujue hata kuishi na your people’
they say they have your back lakini its all lies, n-gga i’m telling’ the real sh-t hear that
they can rap but they know who’s going hard
b-tch my sh-t is different just know that
usiwe kwa ajili ya fame kwenye huu msafara
usije kuta una hang na manyapara
uswazi sio kila pisi umuite malaya bra
wengine hustler’s, maboss nakadhalika…
i’m outchea paah!
letras aleatórias
- letra de dắt anh về nhà - vin quốc anh
- letra de roll auf - dexter
- letra de trunks - dregg
- letra de time - rural internet
- letra de charisma | كاريزما - blvxb
- letra de ghost - dan richard (daway)
- letra de high life - carter rose
- letra de savage mode (режим дикаря) - niko forcc
- letra de postumul stâng - om la lună
- letra de à propos d’ça - eloquence & joe lucazz