
letra de turudiane - jay melody
[intro]
onaa nana nana nanaaaah
anaitwaje uyo? jay, jay once again
[verse 1]
nilikukosea, naomba unisamehe
nishajionea, kwamba sina lolote
bila wewe siwezi endelea
naomba twendelee
yalikuwa matamu, mapenzi yetu
yalikuwa super, aaah
[pre chorus]
aaaaah ah, ex dua gani ulivoisoma?
aah, kama ndio cha moto nimekiona
aku siwezi, kujifanya niko sawa k-mbe inachoma
inaumiza, nimeshindwa kukaza
[chorus]
mwenzako nataka, turudiane
mwenzio nataka, turudiane
mwenzako nataka, turudiane
mwenzio nataka, turudiane
uuh nana nanana ooh
[verse 2]
weeh, saa sita, saa saba usiku
nitakupigia na kitu
nawe pokea j-po tu
nikuongeleshe kakitu
uko inje, kila mtu wa mtu
nishakuwa single my siku
basi nielewa kiduchu
tumalize hili bifu
[bridge]
nimeshindwa k-movе on
nimeshindwa k-move on
hata siwezi, k-movе on
wanawezaje, k-move on?
[pre chorus]
ex dua gani ulivoisoma?
aah, kama ndio cha moto nimekiona
aku siwezi, kujifanya niko sawa k-mbe inachoma
inaumiza, nimeshindwa kukaza
[chorus]
mwenzako nataka, turudiane
mwenzio nataka, turudiane
mwenzako nataka, turudiane
mwenzio nataka, turudiane
[outro]
once again
mwenzio nataka, turudiane
letras aleatórias
- letra de another girl - carter lagrange
- letra de утопия (utopia) - s.w.e.d.
- letra de gossip - marc vinyls
- letra de morena freestyle - joey trap
- letra de down with the clique (dancehall mix) - aaliyah
- letra de lead you on - yung princey
- letra de i'm just sayin' (feat. elan atias & dominique) - topanga grass
- letra de stapler - generation simulation
- letra de just another day - onemanband
- letra de proud - zarion uti