
letra de sina - jay melody
[intro]
ladies and gentlemen
jay once again
ona nananah
ona nananah
[verse 1]
leo mimi hadharani
nakupa vyeo
manyota nyota kibao
kama police
umenipa faraja
toka umenipa hiki cheo
na kwa upande w-ngu
mi sina kipingamizi
[pre chorus]
kama mapenzi
macho yangu ukiyatazama
ukiyatazama, yatakwambia
nishajiweka kwako ujue
sa itakua mbaya ukinidanganya
nitatangatanga
kwenye hii dunia
ooh sina pakukimbilia
[chorus]
anhaa basi na wewe usicheze
na zangu hisia
taratibu taratibu na moyo w-ngu
nisije kuumia
onhooo ooooh sina
pakukimbilia
sina ooh sina
pakukimbilia
oooh basi na wewe usicheze
na zangu hisia
basi taratibu taratibu na moyo w-ngu
nisije kuumia
onhooo sina
pakukimbilia
[verse 2]
si unajua uwezo sina
wakupigana nitaumizwa
mwili w-ngu wa mapenzi
basi nitunzie huba langu
usijaribu kunipima
ukanichota ukanimimima
ukanichanganya na wengi
hapo ndo pressure kizungu zunguu
my sweet penzi sio kisinia
kwa bonge au kwa shishi
watu kukigombania
my darling penzi sio kisinia
eti kwa esha buheti
watu kukifakamia
[pre chorus]
kama mapenzi, macho yangu ukiyatazama
ukiyatazama, yatakwambia
nishajiweka kwako ujue
sa itakua mbaya ukinidanganya
nitatangatanga
kwenye hii dunia
ooh sina pakukimbilia
[chorus]
anhaa basi na wewe usicheze
na zangu hisia
taratibu taratibu na moyo w-ngu
nisije kuumia
onhooo ooooh sina
pakukimbilia
sina ooh sina
pakukimbilia
oooh basi na wewe usicheze
na zangu hisia
basi taratibu taratibu na moyo w-ngu
nisije kuumia
onhooo sina
pakukimbilia
letras aleatórias
- letra de no vale una victoria - sin palabras
- letra de the ends - travis scott
- letra de where's ya mama - neon hitch
- letra de encuentro con el diablo - serú girn
- letra de hλk sundays [htw exclusive no. 1] - summer cem
- letra de rainha do paraná - chitãozinho & xororo
- letra de aqui estoy - popwhit you
- letra de all we do - ezec
- letra de sayonara - androp
- letra de real chill (feat. kodak black) - rae sremmurd