
letra de sawa - jay melody
jay once again
mapenzi tu
nimepagawa hamjui
ye kila mara ananifanya silali
namwaza yeye tu
anayeweka roho yangu juu
ana utoto tu
sema uzuri ananipaga asali
mi nailamba tu
na penzi letu ni kama sunna
na ulinzi kama suma
hata akinuna
bado unapendeza mchumba
mkimuona ananichuna
msinionee huruma
cha mtu huliwa na mtu
kutu yake chuma
basi mwambieni nampenda
sawa, sawa, sawa
ah mwambie mi nampenda
yes (sawa) right (sawa) sawa
huo utamu hasa nikiingia
akifungua gate naingia
akipanua neti naingia
na wala sikwepeshi naingia
sina akili ya kuchange idea
hapo hapo nimemng’ang’ania
hapo hapo nimeshikilia
na visokorokwinyo mtaumia, naahaa
kwa hakika haya mapenzi
kusema kweli, yataniua
kwa hakika haya mapenzi
kusema kweli, yataniua
na penzi letu ni kama sunna
na ulinzi kama suma
hata akinuna
bado unapendeza mchumba
mkimuona ananichuna
msinionee huruma
cha mtu huliwa na mtu
kutu yake chuma
basi mwambieni nampenda
sawa, sawa, sawa
ah mwambie mi nampenda
yes (sawa) right (sawa) sawa
letras aleatórias
- letra de nice - nizzmey
- letra de a peteca - xuxa
- letra de nausea - marleexthemic
- letra de one love - nellz
- letra de you - james mcvey
- letra de motorway midnight - the reform club
- letra de alphabet girl - wild arrows
- letra de i got this flutterly - nugx lo
- letra de volume - lil' kleine
- letra de franklin - higher brothers