letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nitasema - jay melody

Loading...

si unitoke hata mara moja
akilini mw-ngu oh mara moja
ninayopitia ni kama umeniroga
haya mapenzi yaamenipa gonjwa
j-po sijawai kukwambia
jinsi ninavyo kuota
nakuzimia moyo umeukota
hii dunia nimempenda mmoja
hizi hisia nitakwambia how i feel
para ra ra raaaahh
how i feel
para ra ra raaaahh
nitasema me
para ra ra raaaahh
how i feel
para ra ra raaaahh
nitasema me
ooh
na vitu vyako vinachanganya oh
unugusapo kwisha mwenzio oh
your magnet oh, unanivuta hapo
utanitoa roho, jamani
unanikosha, unaniwasha, unalia paah moyo w-ngu
unanikosha, unaniwasha, unalia paah mmmh
j-po sijawai kukwambia
jinsi ninavyo kuota
nakuzimia moyo umeukota
hii dunia nimempenda mmoja
hizi hisia nitakwambia how i feel
para ra ra raaaahh
how i feel
para ra ra raaaahh
nitasema me
para ra ra raaaahh
how i feel
para ra ra raaaahh
nitasema me
unanikosha, unaniwasha, unalia paah moyo w-ngu
unanikosha, unaniwasha, unalia paah

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...