
letra de nishalowa - jay melody
[intro]
once again
ona nanah
ona nananah
[verse 1 : jay melody]
ninavyoonekana kama nina ulafi, onhoo
ninavyoonekana kama nakuja kasi, anhaa
najua uba unahitaji kidogo nafasi, enhee
na mie ndio hivyo nishakolea n-z-, anhaa
huwa naota uniita, sauti yako inavuma toka mbali
mizigo yako nitajitwika
niko tayari mie kuanza safari
kuna wakati ni usiku saa tisa
unaongea na mimi haulali
hivyo vitu vyanimaliza
na kukuacha kwa kweli sitakubali
[pre chorus : jay melody]
yani sitosheki mimi
un-z-di kunichanganya au nilambe na ulimi
nipete huko chini kwa chini
naibuka nikizama kama samaki baharini
ohh
[chorus : jay melody]
mapenzi yako mvua, nishalowa
mapenzi yako jua, lanichoma
mapenzi yako mvua, nishalowa
mapenzi yako jua, lanichoma
[verse 2 : alikiba]
taratibu nishapenda
w-ngu moyo ushalenga
vya ndani utamu, nishalamba
oh dear, oh mama
umenipa mapenzi, naona utajiri
siwezi kuificha siri
penzi maradhi nishapata
unavyonijali dakitari
mbona raha aah
ndo ujue kama hakuna
mimi bila wewe
sitamani nikuache usiniache
[pre chorus : alikiba]
yani sitosheki mimi
un-z-di kunichanganya au nilambe na ulimi
nipete huko chini kwa chini
naibuka nikizama kama samaki baharini
ohh
[chorus : alikiba]
mapenzi yako mvua, nishalowa
mapenzi yako jua, lanichoma
mapenzi yako mvua, nishalowa
mapenzi yako jua, lanichoma
letras aleatórias
- letra de klonopin - vic mensa
- letra de я аренбі (i'm r'n'b) - на відміну від (na vidminy vid)
- letra de acide lactique - engué
- letra de july (sly & robbie's dub) - tuxedo
- letra de beautiful - natasha mosley
- letra de smd 2x (suck my dick 2 times) - tommy traina
- letra de whiskey - cody jinks
- letra de 1101 - neveresque
- letra de mmm - carti (rapper)
- letra de switches - guy harrison