letra de nakupenda - jay melody
iwe giza baridi na upepo
iwe kuna mawingu na minyesho
your body baby joto (joto)
unafanya nijihisi special
unanipa sababu ya uwepo
kando yako we mtoto
my desire, we nipe dawa, mi mahutui
sijielewi ooh my god
shida ni nimekolea penzini
shida ni baby uko moyoni wewe
nakupenda we
nakutaka we
kwako sijiwezi
ooh my love
mpenzi we
roho yangu we
kwako sijiwezi
ooh my love
akili mwili baby
hasira zangu navituliza
ukiongea nasikiliza
yote sababu ya upendo
pili pili baby
vindimu chumvi ya kunynyiza
yani uroda kupitiliza
nimeumaliza mwendo
kiukweli, napendwa , nachanganywa
na haya ma raha
shida ni nimekolea penzini
shida ni baby uko moyoni, wewe
nakupenda we (anhaaa)
nakutaka wе (oh nana nana)
kwako sijiwezi
ooh my love (ooh my baby)
mpenzi wе (oh nonono)
roho yangu we (aaaah yayaya)
kwako sijiwezi
ooh my love
letras aleatórias
- letra de weekends - shutups
- letra de stay true (one life to live) - young pisces
- letra de not pretty enough - tiny little houses
- letra de positief - rey tranquilo
- letra de the curse of the black water - be under arms
- letra de näytä tahtosi - verkosto kollektiivi
- letra de dancing with the devil - bandingo
- letra de калейдоскоп (kaleidoscope) - kemul
- letra de saucin - myxwxe
- letra de boa noite - geng$z