
letra de my dearest - jay melody
[intro]
badman
szhee ooh
once again
[verse 1 : jay melody]
shake your bum bum
shake your bum bum, shake it
gimme some some
gimme some some, gimme
iyo tamu tamu
iyo tamu tamu, cake
kama stimu marijuana
[pre chorus : jay melody]
kwenye mamilioni ya watu your the one
pekee unaenimaliza
na ushajua bila wewe mimi siwezi
ukiniacha itaniumiza
unaniweza uwepo wako natambua
kiufupi umekamilika
mechi za nje si unajua hua si chezi
ononono
[chorus : jay melody]
my dearest
w-ngu wa moyo yoyoh
my dearest
si ndio oyo yoyoyooh
my dearest
w-ngu wa moyo yoyoh
my dearest
si ndio oyo yoyoyooh
my dearest
[verse 2 : jux]
hesabu jioni
kwani kulikoni
penzi linaf-ka moshi
zikichomwa kuni
hesabu jioni
faida sioni
pesa zote nitazopata
nitakuhonga honеy
nimenogewa kifupi nimekolеa
nikikutazama jua nataka kupewa
onyo kwa wote wanaonyemelea
penzi liko kasi wasije wakapotea
nonono
[pre chorus : jux]
kwenye mamilioni ya watu your the one
pekee unaenimaliza
na ushajua bila wewe mimi siwezi
ukiniacha itaniumiza
unaniweza uwepo wako natambua
kiufupi umekamilika
mechi za nje si unajua hua si chezi
ononono
[chorus : jay melody & jux]
my dearest
w-ngu wa moyo yoyoh
my dearest
si ndio oyo yoyoyooh
my dearest
w-ngu wa moyo yoyoh
my dearest
si ndio oyo yoyoyooh
my dearest
letras aleatórias
- letra de слова - squarside artist
- letra de dea del movimento - giacomo luridiana
- letra de eu e os bois - lil liuneiro
- letra de high asf - percosits
- letra de dobro te znam - adi šoše
- letra de immer weiter - muv & max
- letra de bloody dream - toky6
- letra de el tsurito* - peso pluma, junior h & gabito ballestros
- letra de if you want to - petal supply
- letra de my little rooster - almeda riddle