
letra de hawatoi - jay melody
[intro]
zheh
naitwa nani vile
jay once again
onhoo
[verse 1]
umaskini unafanya n-z-di pambana
tena najua kule nilipotoka na ninachofanya
halafu mungu nae ananibariki usiku mchana
wanaoniombea mabaya hawajakosekana
iyo mishale yao ah, mi naikwepa
kwanza shauri zao, wanavyoteseka
na kimpango wao, mi ndo nasepa
nikikutana nao, ndo kwanza nacheka
[chorus]
hawatoi, hawatoi
hata sifa hawatoi
hawatoi, hawatoi
hata heshima hawatoi
wamejikausha, wamenuna
wamejikausha, kama hawanioni vile
wamejikausha, wamenuna
wamejikausha, kama hawanioni vile
[verse 2]
uzito ndo tatizo eti
wanataka niwe mwepesi
wanasema sieleweki
si washajua siendeshwi
wanafanya mpaka upelelezi
anaishi wapi mbezi
binadamu mna mengi
kwendeni kudadeki
anhaaa
hawachoki kila siku
anhaa
wananitafuta kitu
anhaa
hawachoki kila siku
anhaa
wananitafuta kitu
ahoo
[chorus]
hawatoi, hawatoi
hata sifa hawatoi
hawatoi, hawatoi
hata heshima hawatoi
wamеjikausha, wamenuna
wamejikausha, kama hawanioni vile
wamеjikausha, wamenuna
wamejikausha, kama hawanioni vile
letras aleatórias
- letra de playboy magazine - na$karmoney feat. pi'erre bourne & playboi carti
- letra de prelude - dorian dead
- letra de oasis - nothing but a nightmare
- letra de mixe wiza - watch me - mixe wiza
- letra de what's behind? - zachary bryner
- letra de telepathy intermission - tenace cruz
- letra de a rose has to die - the dooleys
- letra de .223 intro - lil wnyk
- letra de por ahora - malajunta malandro
- letra de doing it wrong - oaf1