letra de bado - jay melody
[intro]
jini x66
[chorus]
bado
bado sijachoka bado
bado
bado sijachoka bado
napambana
bado sijachoka bado
bado
bado sijachoka bado
[verse 1]
iwe milima, mito au jua kali
nitapambana usiku kucha silali
nitapigana tu nipate ka ugali
ataniletea mungu hajawahi bagua
maana
alisema asiye fanya kazi na asile
ndo maana
mpaka leo bado napambana ndio nile
[verse 2: jay melody]
nikiamka nimekunja ndita
tena niko tayari kupambania maisha
nasikia ka sauti inaniita, ‘ya midundo ya ngoma na minyuzi ya gitaa
ni vile muda w-ngu ndio hujafika
na kama ukifika we’, nitaburudika ah
kwa yote magumu niliyo yapita
nikizipata mbio zangu ma kilometa
[pre-chorus]
moyo w-ngu unaniambia bado
nisikae, nisimame
moyo w-ngu unaniambia bado
nipambane, nisikwame
[chorus]
bado
bado sijachoka bado
bado
bado sijachoka bado
napambana
bado sijachoka bado
bado
bado sijachoka bado
(bado sijachoka bado, oh)
[verse 3]
sometimes, you may feel like
n0body’s on your side
you’ve got to know in your life
mungu ndio kimbilio
kuna siku utapata
siku utakosa
usiogope kuanza upya
maisha ni kama kioo, ooh, oh
[verse 4]
wanangu wamachinga
mnakimbizwa na polisi
wanangu wa road wote mnao uza chipsi
wanangu wa shamba mnao ng’oa visiki
tuendelee kukaza mungu atafungua njia
boda boda, daladala, ‘mambo vipi?
hamsini kitu, unga-unga, vipi?
wanangu wa keko, segerea, ‘mambo vipi?
tuendelee kukaza mungu atafungua njia
[pre-chorus]
moyo w-ngu unaniambia bado
nisikae, nisimame
moyo w-ngu unaniambia bado
nipambane, nisikwame
[chorus]
bado
bado sijachoka bado
bado
bado sijachoka bado
napambana
bado sijachoka bado
bado
bado sijachoka bado
[hook]
na kama kibali, kanipa kipaji
(kanipa kipaji)
hatakama ni mbali, naanza safari (naanza safari)
na kama kibali, kanipa kipaji
(oh, baba, baba, baba, baba)
hatakama ni mbali, naanza safari (naanza safari)
[chorus]
bado
bado
bado sijachoka bado
oh, bado sijachoka bado
bado
bado sijachoka bado
bado sijachoka bado
napambana
napambana
bado sijachoka bado
(oh, baba na mama, oh)
bado
bado
bado sijachoka bado
bado sijachoka bado
[outro]
bado
bado sijachoka bado
bado
bado
na baba-
ka mix lizer
letras aleatórias
- letra de i’m still the topkid - whoiszarix?
- letra de barf - gdaal
- letra de no signal - north kay
- letra de red light - hillkash
- letra de asking myself why - kidsnorlax
- letra de my money - dimiko
- letra de lo levad - לא לבד - veten helkenu - ותן חלקנו
- letra de want to see - flexinbeforedeath
- letra de spelare - z.e
- letra de mushroom knight; tavern secrets - kyrstahh