
letra de princess - jambo squad
[intro]
[east records]
[chorus]
smart girl
pretty girl
my girl
(we ni bonge la princess)
sweet girl
baby gyal
wa ukweli
(we ni bonge la princess)
smart girl
pretty girl
my girl
(we ni bonge la princess)
sweet girl
baby gyal
wa ukweli
(we ni bonge la princess)
[verse 1: n-gga c]
alivyo bomu ananichanganya
changanya, michanganyo, michanganya
vituko vyake kama kipanya
jicho lake kungu, ‘la kudanganya
mtoto akija ghetto anajua kupika
mboga za uhakika sio mapicha, picha
kwa bed ‘tunavunja mpaka double-decker
na hapo mwanaume ndio nadata kabisa
[pre-chorus]
anapenda ku-dance
anavyo tingisha jicho na kaza (ah, eh)
akipiga pensi, mguu unanikosha nyuma kajaza (ah, eh)
anapenda ku-dance
anavyo tingisha jicho na kaza (ah, eh)
akipiga pensi, mguu unanikosha nyuma kajaza (ah, eh)
[chorus]
smart girl
pretty girl
my girl
(we ni bonge la princess)
sweet girl
baby gyal
wa ukweli
(we ni bonge la princess)
smart girl
prеtty girl
my girl
(we ni bonge la princess)
sweet girl
baby gyal
wa ukwеli
(we ni bonge la princess)
[verse 2: bam]
ulivyo down low utasema shikamoo
hata ikiwa kwa bad mood, n-gga sio [?]
mtamu ka eet-sum-mor, wala hana shobo
uh
huyu baby’s mama, mwendo wake tu lawama
acha tu [?] kama chama
tukila trafiki tunasimama
wenye wivu wajinyonge ama wanywe sumu
mbele ya macho ya wapambe baby njoo unichum
na hamu, hamu
mashamu, shamu
kwako beki hazikabi, kwanini nidake hii game?
kwake acha nijiweke
ka [pemba] chake chake
wakirusha, nidake
nipige mbele ka benteke
[bridge]
waeleze
wameza mate
[pre-chorus]
anapenda ku-dance
anavyo tingisha jicho na kaza (ah, eh)
akipiga pensi, mguu unanikosha nyuma kajaza (ah, eh)
anapenda ku-dance
anavyo tingisha jicho na kaza (ah, eh)
akipiga pensi, mguu unanikosha nyuma kajaza (ah, eh)
[chorus]
smart girl
pretty girl
my girl
(we ni bonge la princess)
sweet girl
baby gyal
wa ukweli
(we ni bonge la princess)
smart girl
pretty girl
my girl
(we ni bonge la princess)
sweet girl
baby gyal
wa ukweli
(we ni bonge la princess)
[post-chorus]
anapenda ku-dance
anavyo tingisha jicho na kaza
akipiga pensi, mguu unanikosha nyuma kajaza
anapenda ku-dance
anavyo tingisha jicho na kaza
akipiga pensi, mguu unanikosha nyuma kajaza
[outro]
[? on the beat]
smart girl
pretty girl
(we ni bonge la princess)
sweet girl
baby gyal
(we ni bonge la princess)
smart girl
pretty girl
(we ni bonge la princess)
sweet girl
baby gyal
(we ni bonge la princess)
[mixer by ?]
letras aleatórias
- letra de gentrificatie - graaf geo
- letra de hurricane - rob flo
- letra de passa o tempo - hateen
- letra de прости (sorry) - yuoff
- letra de melody (ellis remix) - lost frequencies
- letra de 아버지 (father) - lee seung gi
- letra de he's so hot - quinton marks ii
- letra de gratitude - fear, and loathing in las vegas
- letra de testify (remix) - shai linne
- letra de fac din noapte zi - sisu