letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de ni faya - jambo squad

Loading...

[intro]
haikatai maasai, he-he
noiz arachuga, he-he

jambo squad
(?) touches on the beat

[pre-chorus]
aya
aya
aya

aya
aya
aya

[chorus]
washa faya
faya, faya
ni faya
faya, faya

[verse 1: ordinary]
kamama, ‘zungusha nyuma, nipe x-fire tingisha
chapa ilale, sisi bado tunaamsha
nipeni kombe, hizo manyavu nimetingisha (eh)
kalisha, (eh)
lalisha
sitaki mlango mi napita kwenye dirisha
chonga bango andika “jambo squad inakalisha”
ukileta matambo, tunafunga bar (bar)
nasimama kama jengo la ghorofa kadhaa
mi ndio buddah, yuko wapi [?]
anipe [maraa] mchana kweupe bila hizibula (yes)
daladala beat (yes)
daladala warrant (yes)
want, want, ‘nishushe kwa bibi titi
wale mabishoo kwa fasi [watemi] mlimani city
wasi, wasi’ sinaga kwa mabinti
nnapo vimba kama paka, kwenye chumba nawa-tight (weh)
next, next, ‘picha ndio linaanza
mende kuangusha kabati
[pre-chorus]
aya
aya
aya

aya
aya
aya

[chorus]
washa faya
faya, faya
hapa ordy, n-gga, bam
ni faya
faya, faya

[verse 2: bam]
yeah, uh, uh
hapa ordy, n-gga, bam
[kama ? zile ]
mtoto wa bibi, yes (?)
kasha-bless god, ‘iyah
hawawezi (?) faya (ah)
(?) mwaya si ndio wabaya wa wabaya, eh
sijui ni nani, fanya hii isipepee
bendera iko hеwani dizaini ya rungu ya kipepe, ah
(?)
sijui kwanini, ongea chini, chini
talking about in’
rhymе si haba, ishajaa kibaba, mistari mivaba
kidingiri baba (ha)
jasho (?)
na nikitoa back it up, naifanya shapu
yeah
bado na stamina huwezi niteka ka roma
wapi nyama choma, niitie na yule ‘ushamuona, eh
excuse me, dear naomba kukusifia
naomba mguu wa bia, sogeza (?)
[pre-chorus]
aya
aya
aya

aya
aya
aya

[chorus]
washa faya
faya, faya
ni faya
faya, faya

[verse 3: n-gga c]
yo
kama we ni [?] ‘mi ndio sempai
nikirusha [lango boom] bye bye
kwenye game mi ni zari kama vile dai
mi navunja mistari, wewe vunja (?)
hapa ni pointi kila ubeti, man
haikatiki, don’t dare’ usitafute mezani kwa kutaka kiki
sio tochi hii ni iphone nnayomiliki
mi kiboko huwa sipendi utani, nitakuchapa stick
usilete za ki-maproso, ‘itakuwa soo
na ma vina ya kutoa, dingo’ mpaka stoo
na ukileta mdomo kw-ngu, ndio kama choo
jambo squad ‘watoto wa bibi, yeah here we go
sema mbarara amevaa mambera, mbera (ha)
kiuno gwara, gwara mbuzi kinauchwara (ha)
hatunaga hizo machali wa ara
ah, bendera ya mgambo inapepea ka tiara
[pre-chorus]
aya
aya
aya

aya
aya
aya

[chorus]
washa faya
faya, faya
ni faya
faya, faya

(instrumentals)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...