letra de mpori pori - jambo squad
[intro: n-gga c & ordinary]
sema, ‘construction
“compraka-ka-ksheni”
he-ha-ha-ha
sema, ‘construction
“compra-ka-tasheni”
ha-ha-ha-ha
takasho fode natama bibi kushirima’ na
dx, mambo?
[chorus: n-gga c]
na hii ni stori ya mpori pori
na hii ni stori ya mpori pori
ah!
sanawari kwenye mataa
amebaki anashangaa
mianzini kwenye mataa
amebaki ana bung’aa
eh!
ni stori ya mpori pori
na hii ni stori ya mpori pori
ah!
sanawari kwenye mataa
amebaki anashangaa
mianzini kwenye mataa
(yesu)
amebaki ana bung’aa
eh!
[verse 1: n-gga c]
hebu sikiliza hii stori ya-
kaa chini nikueleze hii stori ya-
ah
hebu sikiliza hii stori ya-
kaa chini nikueleze hii stori ya-
ah
huo ushamba umemzidia, umemuelemea, umemuelemea, ah
huo ushamba umemzidia, umemuelemea, umemuelemea, ah
kadi ya kura kachomeka atm
kaja ara’ na t-shirt ya ccm
mpori pori hajipendi, eh?
-n-leta udokozi hapa stendi, eh
eh, amekataa popcorn, eh
anasema hayawezi kuwa mahindi, eh
eh, ni meupe peh!
katoka bush na swaga za ‘maaan
“we ni gani?, maaan” (oh)
“ni meupe, maaan” (oh, oh)
“nataka ya kuchoma, maaan” (oh, oh, oh, oh, oh maaan)
anaomba lifti kwenye mkokoteni
akadhani soda k-mbe anakunywa lotion
kituo cha polisi ‘kaenda kuazima pen
(aroo, aroo, unakuja kuulizia makofi 1polisi?, haya vua mkanda, vua viatu, ingia ndani)
[chorus: n-gga c]
na hii ni stori ya mpori pori
na hii ni stori ya mpori pori
ah!
sanawari kwenye mataa
amebaki anashangaa
mianzini kwenye mataa
amebaki ana bung’aa
eh!
ni stori ya mpori pori
na hii ni stori ya mpori pori
ah!
sanawari kwenye mataa
amebaki anashangaa
mianzini kwenye mataa
amebaki ana bung’aa
eh!
[verse 2: ordinary]
“k-mbe kalewa viroba
ah, ataipata”
“k-mbe kalewa viroba
ah, ataipata”
anaulizia mambata, mandaka (haya)
anatuletea u-character
imeandikwa, usitupe ‘akatupa (eh)
mpori pori leo utaipata
mpige bapa, amekojoa na hapa
hajasoma ukuta?
(hajasoma ukuta?)
namshika namweka ng’ombe, namuanisha
nampiga vikombe, namkalisha
na hizo pombe, namtapisha
roba ya sembe, namlalisha, ah
mmm…
ananuka kikwapa, mchape na lapa
leo ataipata
ataipata, pata fresh ya mwaka
(eeh)
mpori kijijini pana kuhusu
huku mjini utakuja kwenda mahabusu
si unajua kuingia bure, ‘kutoka hela?
ulikuja na trailer eh, huku umetinga ndala
(eeh)
kuwa mpole, acha kupiga ndole (eh)
utakatwa vidole (eh)
kakojoe ulale (eh)
au vunga kwa pale
(wapi sasa?)
subiri taa iwake ndio uvuke
ufike salama mianzi’ kwa buke buke
balaa lisikukute
(he-he-he)
[chorus: n-gga c]
na hii ni stori ya mpori pori
na hii ni stori ya mpori pori
ah!
sanawari kwenye mataa
amebaki anashangaa
mianzini kwenye mataa
amebaki ana bung’aa
eh!
ni stori ya mpori pori
na hii ni stori ya mpori pori
ah!
sanawari kwenye mataa
amebaki anashangaa
mianzini kwenye mataa
amebaki ana bung’aa
eh!
[verse 3: bam]
jogoo la shamba linataka kuwika mjini
sio msamba nakuomba sana umuige tembo nini
geti’ usiingie, kuna mbwa mkali
ye kaingia’ ha-ha
mpori pori una hatari (yeah)
na mbuzi wake akinyea ana acha bati
nyasi ndio kipimo chake, kinachofata sanawari (woo!)
ndio zake kucheza kwetu, anarudi kibao kata
(? omba muwa ka mtoto)
ndio maana anatulizwaga na mambata, haish-gi mikasa
mara atembelee kwenye karata
na hivi juzi, juzi (?)
cha kushangaa mpaka husababisha ajali
nyota’ humpagawisha huyu chalii
ushamba ‘huko kijijini hauko (yeah)
hii namba aisee ina vituko
katinga buti yuko [olasiti] anataka kwenda club ku party
kwenye hot pot, ma bolt, makaroti
kajaza mf-ko mwenyewe anazuga eti manoti
mpori pori, acha ujanja (?)
unaingia kanisani huku umevaa kibarakashe (he-he-he)
leo na mizuka sio ya kitoto
mpori pori ana bambia mpaka kwaito
akisha kunywa (?) yeye anarudi marumba
wanaume kama simba, eh
si mjini katimba (yeah)
“mjini ya boha, balabala ja lami, nyumba za pandiana, pandiana”
tulia chalii angu hayo ni maghorofa bana
[chorus: n-gga c]
na hii ni stori ya mpori pori
na hii ni stori ya mpori pori
ah!
sanawari kwenye mataa
amebaki anashangaa
mianzini kwenye mataa
amebaki ana bung’aa
eh!
(instrumentals)
letras aleatórias
- letra de fall for me - matt doyle
- letra de piece by piece - misty eyed
- letra de ambivalence - hanz & emawk
- letra de ombré leather - credoroyal
- letra de elend - mizeb
- letra de 001 krispy kreme arizona iced tea - street jobs, clans, nftea records
- letra de the monster roars - magnum
- letra de unarchived activist - theylovepiet
- letra de traffik - zayy the dino
- letra de 16 - jordan rawling