letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de digi digi - jambo squad

Loading...

[intro]
digidigi
(yo)
digidigi (uh)
digi
digi
digi
digi
digi
digi
(uh)

[chorus]
nimeenda ngorongoro
(hakuna digidigi)
mpaka serengeti
(hakuna digidigi)
nimeenda mik-mi
(hakuna digidigi)
nasema, no
(digidigi)
no
(digidigi)
nimeenda ngorongoro
(hakuna digidigi)
mpaka serengeti
(hakuna digidigi), heh
nimeenda mik-mi
(hakuna digidigi), he-he-he
no
(digidigi), uh
no
(digidigi)
uh, uh
[verse 1: ordinary]
mi napenda sana digidigi (eh)
mi napenda sana kuwaona digidigi (yes)
kama vipi nazama kijiji
vichakani, maporini, ‘hakuna digidigi
watu walaku, yaani magwiji
wameshiba, wametafuna wote ‘digidigi (eh, eh)
manyara hakuna digidigi
kule serengeti yako tu ma pig (aah…)
we jangili acha kuondoka, ‘rudi
hicho kitambi ulicho fuga, si cha digidigi? (eh)
vaa bangili, ukatoe ushahidi (eh-enhe)
na hizo meno mbili za tembo zirudi
nasikia mnadaka nyati, ‘mnawachuna ngozi
mpaka twiga ana stress, hatembei tena kwa pozi (ha-ha)
tumbili mnawaekea ugoro kwenye ndizi, kikojozi
wakilewa, wakianguka, mnachinja, mnakunywa mchuzi
ndio maana hakuna digidigi
halafu mnachinja na spana, ‘eti digidigi
eti digidigi

[chorus]
nimeenda ngorongoro
(hakuna digidigi)
mpaka serengeti
(hakuna digidigi)
nimeenda mik-mi
(hakuna digidigi)
nasema, no
(digidigi)
no
(digidigi)
nimeenda ngorongoro
(hakuna digidigi)
mpaka serengeti
(hakuna digidigi)
nimeenda mik-mi
(hakuna digidigi)
kote, no
(digidigi), uh
no
(digidigi)
[verse 2: n-gga c]
acha digidigi (eh)
mixer pundamilia (oh)
hao faru ndio usipime
daily w-n-lia (wee!)
mpaka kobe kaongeza mwendo, nae anakimbia
yaani hadi fisi, man (eh)
wanawanyemelea (ah)
sio siri, joh (uh)
hakuna kangaroo, laivu wana “make dough” (ha)
hawaoni soo (ha-ha)
wamechoka kula ng’ombe, mbuzi na kondoo
sasa wanang’oa tembo pembe, ‘hawachoki ng’o
ni tatizo bwana (uh-huh)
ngiri hawacheki tena
kila saa ni noma ‘kikinuka, wanatafutana
sokwe wana homa, wanatoka jasho, w-n-loana (dah)
kweli chimpazee mkubwa wamemdaka jana (wah)
washtue swala (meh)
waambie wasije wakalala
kwani kuna mazimba ambao watakuja wala, ah
mpaka simba wenyewe wanakacha msala
’cause makiritimba wanacho saka ni dola

[chorus]
nimeenda ngorongoro
(hakuna digidigi)
mpaka serengeti
(hakuna digidigi)
nimeenda mik-mi
(hakuna digidigi)
nasema, no
(digidigi)
no
(digidigi)
nimeenda ngorongoro
(hakuna digidigi)
mpaka serengeti
(hakuna digidigi)
nimeenda mik-mi
(hakuna digidigi)
kote, no
(digidigi)
no
(digidigi)
(instrumentals)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...