letra de mos mos - jahcob
shawty anataka benz afurahi
usiflex mbele yangu nakudai
papa la kusini naku guide kwa mawimbi mi ni coacher nashukuru nafurahi
tunatoboa mitihani za life nikama syllabus, skkrrrrr
sauti fresh na ngoma imeshiba melody utadhani nimepatia ka singer verse
third floor nyali na kina kasinga
kuku shasha haga mizinga
chupa za mn-z- bata tumechinja
vibe mombasani dodoma to jinja
kirusi hakitambui kuomoka vaa kinga
katoto kana haga nene
influential ka kamene
ka ni dimba mi ni ka radebe
mid finger kwa wajinga pozi ka makeke
vile kanajilegeza
aki mummy unaweza
tembo tele juu ya meza
nikupunguzie pressure
mos mos tuna party tukiflex, tukiflex, tukiflex yeah yeah
kama vipi sir jah ametubless, ametubless, ametubless yeah yeah
me ndio the first one
wengine ni copy
utanipata kwenye deals
zenye mdomo haubongi
wrist ime freeze
i might buy time
niku please
when are you free
ushawai kula sh-sh- na me?
relax nani
me ujipin na gas na steam
my eyes chinese
my hair dyed
i’m the last regime
take your time
ukule hizi vibes
na feed
out of my feeds
na bado nakuanga
tricks under my sleeves
but anyway
bado nakupenda
kuna vitu me nawe tweza tenda
baby girl
january to december
hizo ni siku zote za calender
ride or die
wanao bonga wata hema
ju mawazo yangu yote kwako mema
no lieeee
usiskize wanacho sema
nia zao haziwezi tunapokwenda
improvise
so ka ni tricks
si ndio utrick the tricks
na ka ni tricks
waambie
si ndio u trick the tricks
incase they missed
this one is our comeback skit
i popped a pill
my eyes blushed
from sh-t i seen
i can’t believe
i made it here
straight outta the streets
all it needs
is hardwork, sweat and tear
guarantee you can be
whatever you dream
cheers, au sio? yea yea
presso ni ile ile, #80100
letras aleatórias
- letra de mama - abor & tynna
- letra de car's little song - floombo
- letra de i am not who i was - marianne beaulieu
- letra de jajaja (interlude) - 7evenn
- letra de get your head out - jessica pratt
- letra de 虹の雪(niji no yuki) - アリス九號. (alice nine)
- letra de comm'è - anna and vulkan
- letra de beware the chupacabra - peter stampfel
- letra de u - johnel ng
- letra de reimu 2 - remilia bandxz