letra de niko bize - jaffarai
[intro:daz mwalimu]
…niko bize
usinitafute
[verse 1: jaffarai]
( niko bize )
niko bize mpenzi tuonane labda wikiendi ‘ipo siku moja tu kwa wiki tuta-spend
kupenda sana honey najua hiyo hupendi lakini hakuna jinsi sababu na mambo mengi
usinitafute kwenye simu huwa inarusha stimu’ nafanya vocal studio nashindwa pokea simu
nakuk-mbuka bado mpenzi usione kama sikupendi naku-miss kuliko vyote usione nafanya ushenzi
niko bize sana shawty’ ndio maana nakupa sorry, ntaku-call kila night ili’ tupige story
bado wakupenda kweli si uongo wala kejeli ndo sababu sikudanganyi kila kitu nasema kweli
sometimes nakwenda ferry na deal na wazungu wa meli dili zikikubali’ basi tutaoana kweli
niko bize mpenzi nafanya albamu yenye akili
nahitaji kuwa pekee yangu ili niandae hayo mashairi
kama wanipenda kweli basi we vumilia’ nifanye nnacho fanya baadae tutatulia
[chorus: daz mwalimu]
ndugu zangu msinitafute >> msinitafute
mpenzi w-ngu usinitafute >> usinitafute
mi mwenzenu niko bize >> niko bize
ndugu zangu niko bize >> niko bize
ndugu zangu msinitafute >> msinitafute
mpenzi w-ngu usinitafute >> usinitafute
mi mwenzenu niko bize >> niko bize
ndugu zangu niko bize >> niko bize
[verse 2: jaffarai]
niko bize mazee’ usilaumu naishi namna hii
naenda race na mihangaiko ya dunia hii
nafanya kazi inayo nistiri, nipate kasi za ku catch kwenye hali ngumu
sionekani ila kwa promise tu, kama (?) kw-ngu mimi ni juu kwa juu
si madharau basi kazi tu (kazi tu)
ndio sababu sionekani uswazini hata maskani’ kuonekana kw-ngu usiku tu (usiku tu)
najua mnani-miss washkaji mnao nijua, utanisamehe braza tuwa’ sikuja kusabahi ulipokuwa unaugua
sikuwa na muda wa kuweza kuja sio kama sikukujali niko bize naenda race
nafanya dili sio kafiri’ muda utapojiri tutaonana jumapili
kwenye msela anataka pepa, pekee inayofanya mi nipate nnachotaka ‘umenipata braza kaka
ofisini hautajiriwi ndio sababu sasa na suffer
kwenye mziki cash napata, niko busy naandika rhymes kila time nnayopata
sio busy tu for nothing, busy na get something
(?) nnavyo fanya hivi sasa
kazi ni kazi afisa’ ili mradi tu inalipa ukiifanya ki uhakika naamini mambo yatajipa
kama ki (?) watu wana tipa, ki mentali au kisomi iwe kwa boda au kwa pipa
[chorus: daz mwalimu]
ndugu zangu msinitafute >> msinitafute
mpenzi w-ngu usinitafute >> usinitafute
mi mwenzenu niko bize >> niko bize
ndugu zangu niko bize >> niko bize
ndugu zangu msinitafute >> msinitafute
mpenzi w-ngu usinitafute >> usinitafute
mi mwenzenu niko bize >> niko bize
ndugu zangu niko bize >> niko bize
[instrumentals]
[outro: daz mwalimu]
ndugu zangu msinitafute >> msinitafute
mpenzi w-ngu usinitafute >> usinitafute
mi mwenzenu niko bize >> niko bize
ndugu zangu niko bize >> niko bize
ndugu zangu msinitafute >> msinitafute
mpenzi w-ngu usinitafute >> usinitafute
mi mwenzenu niko bize >> niko bize
ndugu zangu niko bize >> niko bize
letras aleatórias
- letra de pink lighter (demo) - julian skiboat
- letra de las flores al viento - señor naranjo
- letra de αυτή τη φορά (afti ti fora) - anna vissi
- letra de ugk'z - juli giuliani
- letra de fracasso - mascates
- letra de see you again - helene fischer
- letra de pensée d'automne - tino rossi
- letra de keep em up - sewerperson
- letra de 10 razones - vanity vercetti
- letra de ownlevel - dickdidit