letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de amedata - jaffarai

Loading...

[intro]
eh, bwana hiyo vipi hiyo
huyu jamaa vipi, ha
hahaha
amedata

[verse 1]
anavuta bangi nyingi bila sababu hata za msingi
dhubutu kuvuta bangi mbele ya hata wake mdingi
kamtia mimba jirani ‘mtoto wa shule ya msingi
anatongoza shemeji zake advertise ana pesa nyingi (umeona eh)
(?) chemsha mwishowe anakosa ushindi, kaota ana mihela kaamka hana shilingi
anatoa nyeti hadharani sababu kala mtungi
kaleta soo mtaani masela wanamtamani
sikuhizi haonekani ‘club hata viwanjani
madeni yanamsonga, polisi wanamueka ndani
demu wake amemkimbia, anatembea na rafiki zake
washkaji wamemtosa, sahivi yuko pekee yake
kutongoza, tongoza ovyo kila akiona tu wanawake
eti cha kushangaza ana mtongoza hadi demu wake
amegombana na mama yake kisa ya ujinga wake
akisha kunywa pombe kali anawazingua wadogo zake

[chorus]
kwani, kwani, kwani
vipi, vipi
huyu jamaa
amedata…
amedata
kwani, kwani, kwani
vipi, vipi
huyu jamaa
amedata…
amеdata
[hook]
oh, oh, oh
oh, oh, oh
oh, oh, oh
[verse 2]
anataka kufanya hip-hop nae hana sk!lls
albamu kibao mtaani lakini bado amesizi
anataka kujifanya mchizi wakati dar amekuja juzi
“nimеtoa nyimbo kibao” zina player wiki mbili
machizi wanamchora hii game haiendi hivi, watu wanafanya, wanakamua kila nyimbo ikitoka bomba
iweje kwako mjomba kila nyimbo unaiboronga?
ana honga mpaka mapaparazi ili wamtoe gazetini
wakati wananitafuta, wananifata hadi ofisini
hana dili ya kufanya anazunguka ovyo mjini
watu wamemshtukia, anaonekana kama chizi
tembea sana kwa mguu sijui ana bana matumizi
anajishtukia-shtukia-shtukia kila saa saa utadhani mwizi
jamaa ameshadata kila dili tu ina nyamba
hatari, labda kalogwa ‘eh k-mbe sababu mshamba
kuwa na akili finyu anamuona bibi yake mw-nga
(?) mambo yake ameshindwa kupanga

amedata, amedata…

[chorus]
kwani, kwani, kwani
vipi, vipi
huyu jamaa
amedata…
amedata
kwani, kwani, kwani
vipi, vipi
huyu jamaa
amedata…
amedata
[verse 3]
(?) mfupa sasa kaingia mjini
ana appointment na demu ana elfu tano tu mf-koni
bili imekuwa kubwa zaidi ya elfu thelasini, aibu tupu (?)
sa sijui atafanya nini
amepanda daladala eti anatoa shilingi hamsini
wakati ya mtu mzima tena na madevu kibao usoni
hata english hajui na ana ndoto ya kwenda mtoni
na ni rijali mtoto wa kiume na hajakwenda hata jandoni
padri kafumaniwa na sister kanisani msichana akikaa vibaya eti mwalimu kashamtamani
huyu sista sijui vipi? anagawa uroda kama pipi
amezaa watoto mapacha, aliye mpa mimba hamjui yupi
ana mabwana hawahesabiki sijui mzigo atampa yupi (woah, woah, woah)
anachojuwa ye ni kugawa tu ye kuongea tu na (?)
mungu amesha mlaani anachofanya hafanikishi

[chorus]
kwani, kwani, kwani
vipi, vipi
huyu jamaa
amedata…
amedata
kwani, kwani, kwani
vipi, vipi
huyu jamaa
amedata…
amedata
kwani, kwani, kwani
vipi, vipi, vi-, vi-

[outro]
yeah, jaffarhyme a.k.a jaffarizo
jaffarai
janja for real na shakii
yaani tuna keep it real, ausio
mandugu digital, uh-huh
(?) baby, yeah
wateule, man

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...