letra de no way - j 93
intro(j93)
j93 kiwalani bom bronx, mick check yoh
lets get it yoh,no way ,aah
verse 1(j93)
maisha yamenipiga kwa mtaa
sina pakulala wala pa kukaa
zimechoka nguo zangu nilizovaa
kwenye giza sina wa kuwasha taa
nooo
sina afadhali
maisha nayoishi ni hatari
usuiombwe kukutwa na hii hali
nzito sana man hii habari
sina shule
sina kazi
nipo bure
hata mavazi ya kuvaa
sij-pata pakukaa
kawaida shinda njaa
ndugu wamenikataa
jua kali joto daah
nimekaza sina mzaa
no
mishe zote nimepiga no way
kwa waganga kote napo no way
msikitini kanisani no way
hata sielewi ipi best way?
chorus
kila nikikaza no way
ujumbe kwa kipaza haufiki no way
sauti ya mnyonge imeminywa no way
no way(no way)
no way(no way)
no way(no way)
no way(no way)
verse 2
n-z-di tu pambana
na pesa tunapishana
hali inakuwa ngumu afadhali ya jana
mpaka napoteza mvuto w-ngu wa ujana
natamani utoto ili nimwite tena mama
no
yani kifupi nimekwama
msaada hauonekani na jahazi linzama
hofu inatanda pale jua likizama
sababu kitanda changu kila siku cha kuhama
siwazi hta nyama
maharage kwa sana
hela nikipata kazi nimepigika sana
sina hata muda wa kuwaza ya ujana
sababu maji ya moto yameniunguza sana
no
hivi kweli itakuwa shwari
hali badilika nipate afadhali
maana nimepigika huu msoto hatari
vipi nitadumu upepo kwa kibatari
chorus
kila nikikaza no way
ujumbe kwa kipaza haufiki no way
sauti ya mnyonge imeminywa no way
no way(no way)
no way(no way)
no way(no way)
no way(no way)
letras aleatórias
- letra de nothintwosay - thatboykwame
- letra de patlar hoparlörler - bege
- letra de solitario - almighty
- letra de bbl drizzy freestyle - scru face jean
- letra de we are him - king attila
- letra de ave maría - bajocero x
- letra de pay to play - magna-fi
- letra de flophouse interlude - bloody crying twinks
- letra de veo veo - ceky viciny, flow 28
- letra de onlyfans - rumae