
letra de nakuwazaga - isaadmusic
Loading...
ukaribu mi na we
masiara yetu yaligeuka utani
kuwa nawe daily
ndio kitu niliwazaga
na imani tele
imenijaa ndani
kwamba sina mpinzani
kuwa nami wewe
ndio kitu hukutaga
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
ujue nakuzawaga
bado nakuwazaga
bado natakaga
wewe
sinaga na mbadala
sita mie ndio saba
wewe ndio nakutaka
wewe
nakuzingatia wewe
sina nia na wengine
nakutazamia we
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
aah, eeh, iiih
ooh, uuh
nakuzingatia wewe
sina nia na wengine
nakutazamia we
bado nakuwazaga
letras aleatórias
- letra de stupid deep - wolves at the gate
- letra de universalhändler - blankreal
- letra de keep on believin' - gene o.
- letra de gen zzz - madilyn mei
- letra de нате (take it) - glava 94
- letra de no - franco ricciardi
- letra de the faithfulness of god - truth (ccm)
- letra de freeze - pnb rock
- letra de give thanks - sunshine christo
- letra de le 7 - tk (fra)