
letra de body - isaadmusic
[chorus]
i just wanna give you some
baby, let me give you some
yani kila kona
unachofanya ni haramu
yani mambo ni matamu
umenipa homa
[verse 1]
usiku kucha nak-miss
ninamiss unavokiss
ona ninakonda
fanya kama unanibipu yani kimakosa
(nitapigaga)
[pre-chorus]
and i’ll touch touch body
njoo karibu near nami
tupo nnje ya wakati
shika ukuta unipe basi
majirani nevermind them
tupo mimi wewe darling
sina hofu wasiwasi
shika mwili moyo nafsi
[chorus]
get down dirty dirty whine it
haters never done it like this
bana eh, tutaomba radhi
wala mami usijali
nishafika, niandame
ukinishika, nitazame
kuwa nawe sio kazi
nishafuta mishangazi
[verse 2]
na wengine sijawai siwajui
natamani niwe nawe, haujui
nachotaka, nikikupata
pakikucha nauhakika utanikata
jina langu mimi niite honey
mjini ndio dili sipatikani
akili yangu mimi unayo kwani
unayo kwani
[pre-chorus]
and i’ll touch touch body
njoo karibu near nami
tupo nnje ya wakati
shika ukuta unipe basi
majirani nevermind them
tupo mimi wewe darling
sina hofu wasiwasi
shika mwili moyo nafsi
[chorus]
get down dirty dirty whine it
haters never done it like this
bana eh, tutaomba radhi
wala mami usijali
nishafika, niandame
ukinishika, nitazame
kuwa nawe sio kazi
nishafuta mishangazi
[outro]
eeh
mmh
mmh
letras aleatórias
- letra de vroom vroom - nerissima serpe
- letra de the animals know - elysian fields
- letra de zon - kobe & trenden
- letra de on and on - something this way magic
- letra de about you - mackaluta
- letra de о мой бог(o moy bog) - pastor napas
- letra de anytime - sludgeworth
- letra de say god - g.o.d (k)
- letra de i bet (feat. manfre, the ju, terrence léon & godismikey) - dryx
- letra de pharmacology - quintihilator