letra de hamnipati - is this abdul
[chorus]
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
ata kwa party chapo hawazipati, mnanitafuta hamnipati
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
[verse 1]
love in the air funika mapua, mi ni og siku hizi huwa siogi
usiku nilikuwa disco matanga, kidogo saa sita nikasikia happy new year
siku hizi bae anachekeshwa na alby, ukishuta na hasira si utajikunyia
we ni wa yellow ama azimio, pea uyo mbleina tissue anasikia kup–poo
na ukinicross marithe za p–poo, napenda p–poo nilizaliwa pumu
huyo kienyeji anajiita rihanna, akona puppy kaumbwa na dogi
manzi yako anapenda dogi, ako kwa mbogi anakulwa ka mbinginji
kibenje ilizidi na senke, walitoka ilale ka joni za mbeere
[chorus]
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
ata kwa party chapo hawazipati, mnanitafuta hamnipati
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
[verse 2]
it’s a boy mi humletea apc, bro ukiingia ni uingie na gumboots
juzi diani nilikuwa na auntie, akaniuliza ka najua kuendesha gari
nataka harrier mi nataka bentley, akasema my boy usikuwe na wasi wasi
sina talanta sina kipaji, lakini naeza andika ata kuliko jay z
masaa ingine mi hukaa juu ya mabati, morio ako kajaba morio ako mafuaka
si zimeshika si zimeripoti, kwa party na pull up na color green
ushaiona mawe ya chuma, hapa tunakufanya ka gidi na ghosty
k-mbe wafula aliachwa na bibi, this year nataka collabo na jerry
[chorus]
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
ata kwa party chapo hawazipati, mnanitafuta hamnipati
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
[outro]
hiyo ni kikombe ya yellow, hiyo ni kikombe ya yellow apo
eeh ebu hii watch yangu sasa
kibenje ilizidi na senke, walitoka ilale ka joni za mbeere na ukinicross marithe za p–poo p–poo p–poo
letras aleatórias
- letra de i am shango - objvsobj
- letra de se marchitó la flor - alemán
- letra de im not playin. - lil pomegranate
- letra de alone - molores
- letra de disaster music - itsthehypeman
- letra de гипотенуза пропала (hypotenuse is lost) - ditok$
- letra de no está en mi mente - kuraka
- letra de funny bone - regine ft. bucketboi
- letra de i can't let go - kanye west
- letra de в душе алания - ruslboy