letra de post - iceboy
g’me love all night baby
ooooh nzela eeeh
ushadata na penzi la mseraa eeeh
kama tunda we ni apple
sio peraa eeeh
we upepo unaniendesha bendera eeeh
ita tax boda ama ubber njooo
unipozee maumivu ya rohooo
hako mwanzo niliumizwaaa ooohhhh
mwenziooooo
walimwengu walinilizaa eeeeeh
kwenye picha tunandanaaa
hata future zina endana
kwanza tunapendana
hata mama hilo anajua
alisema tunaendana
walimwengu hawana maana
wanao sema me naforce kua na me me nataka niku post wakujue leo leo
wanaosema we unaforce kua na me, me nataka uni post wanijue leo leo..
sasa insta nikupost
twitter nikupost
snap chat nikupost
tiktok niku post
kwanza una bonge la mguuu
guuu la bia
figure ukianzi juu
uko bomba dia
me nakamatia
nasiwezi me hata kukuachilia
manyangau moyo waka uvamia
tuli tu bebe
njo tu niku bebeee
tuko bebe bebe
acha wateseke
tupige mapichaa
makaliiii
penzi letu nisafari
kutengana ni hatari
kupendana ndio shwari
letras aleatórias
- letra de don't give me a label - jon-marc andre endsley
- letra de gos lippis - yungmiqu, jezebro
- letra de who's laughing now (jordan jay remix) - ava max
- letra de left lane - kicksie
- letra de upright - jvn wrld
- letra de dhl - norman (the real one)
- letra de anlayıram mən - rhys & rafichx
- letra de wolves - kid sharif
- letra de уши (ears) - ники ко мори (niki ko mori)
- letra de hustle szn - devin