letra de naamini - ibrah nation
oyeye yaaah ayaah
mmmh yei yei eeeh aaah yeiyeyeye
baby pamoja na yote niliokupa pia nilikupa moyo w-ngu ili ukae nao
ooh leo upendo unanifanya nalia machozi
ya furaha mboni yangu imeshindwa kutazama.
(pendo langu umelizima ka mshumaa
umenidharau umeninyima hata heshima)
kama wamekwambia me nakuzingua amini na siku moja ukweli utaujua
hutofurahia penzi bandia na kweli lipo kw-ngu na we hujaridhiaaa aaah
bado naamini (mi naamini)ntakua na wewe (mi
naamini) j-po uthamini (mi naamini)ila chaguo langu ni wew
bado naamini(mi naamini) ntakua na wew(mi naamini) j-po uthamini(mi
naamini) ila ntakua na wew kua na
wee aaah aaah aaah mmmh yeyeyeeeh mmh
kama ni kosa mi kukupenda wewe semaga unanichukia aaah marafiki
wanasemaga halifichiki pendo mamio nikikuona
mwenzio najawa na furaha nakufikiria sana waah
(pendo langu umelizima ka mshumaa
umenidharau umeninyima hata heshima)
kama wamekwambia mi nakuzingua amini na siku moja ukweli utaujua
hutofurahia penzi bandia na kweli nipo kw-ngu na we hujaridhiaa aah
bado naamini (mi naamini) ntakua na wew mi
naamini) j-po uthamini (mi naamini)ila chaguo langu ni wee
bado naamini (mi naamini) ntakua na wew(mi naamini) j-po uthamini (mi
nnaamini) ila ntakua na wewee kua na
weee eiyeiyee aah love you babeee aah
letras aleatórias
- letra de all night (right now) - lord uncle dave
- letra de море (sea) (prostojonny remix) - дети rave (deti rave)
- letra de to the girls i hurt - reid berger
- letra de [double lz] plugged in freestyle - double lz
- letra de not alone - brightdelight
- letra de 이별하러 가는 길 (the way to say goodbye) - onestar
- letra de above* - capoxxo
- letra de one day - st & everlast
- letra de dessin - brigitte fontaine
- letra de магия (magic) - гости гаррисона (garrison's guests)