letra de chorea :( - huzuni▽
[verse 1]
kila saa tukigombana
mabeste wako nawa-diss ee ee
ndio kwa maana wamesh-geuka bbc
stori zangu kutoka runda mpaka eastleigh
washazisema
na beshte yako ka rooho ni kama amemeza mp3
nikipita ananicheki kama dvd
wako rada hakuna stori haikufikii
(ch0r-a)
kama mimi ni series
jua sho’ next season haitatoka
ju system imechoka
mi nadai kuondoka
nyumba yetu ya ghorofa
imekwishabomoka
we unadoze kwa bed
mimi nalala kwa sofa
hii story sitaweza ju mi bado mrembo
naogopaga stress na sipendi maneno
leo utajua mapenzi sio mchezo
siri ya watu wawili
between wewe na mimi
[verse 2]
sitaki story s’taki sorry
my only intention
is to leave this house with only one direction
far away from you
and your petty little crew
if gossip was a career
you would get a pension
so tell your little friends to stay out of my mentions
let me make it clear for your comprehension
it’s over
me and you are through
tell your whatsapp group
that they should find something better to do
ay
letras aleatórias
- letra de come get me - baby.daddi
- letra de humanarchy - circle of dust
- letra de donde vas (latin village 2017 anthem) - d-rashid & deadly zoo
- letra de john gotti - jewelry boi nova
- letra de vii. side b - ninefive'
- letra de iamahoeiloveit - white dolla
- letra de kairus - lucid planet
- letra de fare su - frah quintale
- letra de burner - isaiahthe3rd
- letra de ma plume - beli