letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kati ya wengi - hotsea

Loading...

[intro]
nisimamako saa hii
nitazamapo mbele nachocheki saa hii
madada wengi kwa yangu laini
lakini yee ndio nafeel

[verse 1]
she (she) she better than the rest
mwili so fine ungedhani goddess
godd-mn niliwa at first impressed
si unajua next nilikuwa god blessed
(leggo)
definition ya success
sababu ya mimi kuconfess
alikuwa ‘shaniuwa hata bila mi kujua
kanizingua bila mi hata kujua

[chorus]
kati ya wengi
mi kachagua
yee pekee ndio kw-ngu maua
na ni kati ya wengi
yee katambua
penzi kanifanya kujua x2

[verse 2]
nuru kwenye mw-ngaza na…
hata bila kutangaza yee hujulikana
kile hubonga cha maana
green ndio colour yee hulike tu sana
ziko siku tutakasirikiana
sana
kawaida ya wanaopendana
ni ngumu kutenganisha kile divine
asante mola, asante hossana

[chorus]
kati ya wengi
mi kachagua
yee pekee ndio kw-ngu maua
na ni kati ya wengi
yee katambua
penzi kanifanya kujua x2

[verse 3]
soft kama cheddar
ameni-winnie kila siku ka mandela
amenikwachu kanifungia kwa jela
mapenzi ingekuwa doh nigemfanyanga teller
angekuw-nga upepo ningekuwa bendera
na ningefanya kila kitu ili k-mpendeza
one in a million
one in a billion
bonge la dime hebu pokea hongera

[chorus]
kati ya wengi
mi kachagua
yee pekee ndio kw-ngu maua
na ni kati ya wengi
yee katambua
penzi kanifanya kujua x2

[bridge]
nisimamako saa hii
nitazamapo mbele nachocheki saa hii
madada wengi kwa yangu laini
lakini yee ndio nafeel
all night all day nimekuwa nikiwaza k-muhusu in vain
lakini saa hizi kampata
no more complaints

[chorus]
kati ya wengi
mi kachagua
yee pekee ndio kw-ngu maua
na ni kati ya wengi
yee katambua
penzi kanifanya kujua x2

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...