
letra de x - harmonize
[verse 1]
nani kasema x w-ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w-ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
nikimwona -n-lewa, namuelewa anajiona kachelewa, age go
na bado haj-pewa
viuno alivyopewa, anajiona kachelewa, age go
ohhh… uuhhh… ohhh!
[chorus]
nani kasema x w-ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w-ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
never!
[bridge]
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
[verse 2]
(mh) ibiza, miami, mbali haj-pelekwa hata zanzibari
hapo kizimkazi aka enjoy low budget dubai hatoboi
anasikitisha x, kama embe la mti wa porini
anajipitisha x, amekosa wa k-muweka mjini
nikimwona -n-lewa, namuelewa anajiona kachelewa, age go
na bado haj-pewa
viuno alivyopеwa, anajiona kachelewa, age go
[chorus]
nani kasеma x w-ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
hivi nani kasema x w-ngu ana enjoy?
nani kasema anapata raha?
never!
[bridge]
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
vanamahako, twende kwalidu kula nikatamwa, nguyopa chalidu chila
[outro]
aaahhh… bomboclaat!
it’s konde boy, call me number one!
bakhresa
ahhhill
konde music worldwide!
eh! sik-mpenda tu, nilimtukuza
nikala bata bila k-mchunguza (babe)
mambo madogo akayakuza
eti kisa upendo akaniburuza
letras aleatórias
- letra de miss me too - peyton marie
- letra de d y w - airpark
- letra de filet mignon - kc rebell
- letra de ironías del amor - alhan
- letra de roxie - dd caine
- letra de luv makes the wrld spin - pradadon
- letra de jumper - rudimental
- letra de hilo - tha aadity
- letra de paradise - iriasona
- letra de lighta - ørumari & tactmatic