letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de sherehe - harmonize

Loading...

(instrumentals)

[intro]
konde boy, call me number one
ba-re-ssah
(s2kizzy, baby)
oh, oh, oh
ah, uu-uu-uuh…
aah-ah, ah, ah…

[verse 1]
ukiwa mvivu
ni rahisi sana kuwa na wivu
tulio jituma ‘tuka achieve
usitushangae tukila mbivu
uliwaza mapenzi, tukawaza pesa
mh’
ona yanavyo kutesa
sie kwetu ni sherehe
oya leo ‘sherehe

[pre-chorus]
we don’t really mind hata tukikesha
liwake hata ikinyesha
leo siku ya sherehe
oya leo ‘sherehe
[chorus]
wanangu huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
leo huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
ola-la-la-la
la-la
la-la-la-la-la
la-la
la-la
la-la-la-la
mmm’

[verse 2]
kuhonga kubaya ukiwa huna
ila tulio jipata kwetu ‘sunnah
we jigambe una mkuna, ah
huku ‘walio na meno wanatafuna (bomboclaa-)
mwenye kisu kikali kala nyama leo
kidari kaachwa na jimama leo
kwetu kuna sherehe
oya leo sherehe, oh
mpaka kesho, tumeanza leo
wasio toka, wametoka leo
wameifata sherehe
oya, kwetu kuna sherehe
[hook]
uliwaza mapenzi, tukawaza pesa
mh’
ona yanavyo kutesa
sie kwetu ni sherehe
oya leo ‘sherehe

[pre-chorus]
we don’t really mind hata tukikesha
liwake hata ikinyesha
leo siku ya sherehe
oya leo ‘sherehe

[chorus]
wanangu huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
leo huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
[outro]
ola-la-la-la
la-la
la-la-la-la-la
la-la
la-la-la-la
la-la
la-la
la-la-la-la

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...