
letra de samia tena - harmonize
this is for you, mama
wakisema ananidekeza wajibu
mtoto kwa mama hakui siku zote
na wakisema najipendekeza wambie karibu
uzuri hachagui ni mama yetu sote
umseme kwa mazuri hata machafu
nenda chadema urudi cuf
atabaki kuwa mama
hakuna kama mama
alopewa na mungu
hawezi nyang’anywa kwa rungu
hata wakija na majungu
na visenti vyao vya wazungu
taifa lishasema ni samia tena
samia tena
samia tena
suluhu samia
samia tena
samia tena
samia tena
suluhu samia
samia tena
samia tena
samia tena
suluhu samia
uraisi hakuomba
wala hakufikira
ila tunae muomba
ndie katutunukia
konde hata asiponiomba
kura yangu nitampigia
amekomesha kongomba
mtwara kuchele tunashangilia
maji kila kona
buree
watoto wanasoma
buree
natibiwa homa
buree
nani kama mama
hakuna kama mama
atabaki kuwa mama
amerudisha ujamaa
kama unakerekwa hama
maana
hakuna kama mama
atabaki kuwa mama
amerudisha ujamaa
kama unakerekwa hama
alopewa na mungu
hawezi nyang’anywa kwa rungu
hata wakija na majungu
na visеnti vyao vya wazungu
taifa lishasema ni samia tena
samia tena
samia tеna
suluhu samia
wote vijana na wazee
samia tena
samia tena
samia tena
suluhu samia
samia tena
samia tena
samia tena
suluhu samia
kondeboy
call me number one
number one
and i did this for mama
konde music worldwide
worldwide
samia tena
letras aleatórias
- letra de ciclo 8 - golden cameleon
- letra de eo eo - duki feat. bles & dellaflame
- letra de hallways - chrissyeve
- letra de no vuelvas - juan magán feat. naiza
- letra de up all night - benji reyes & myles marcus
- letra de simple things - the suitcase junket
- letra de leicht - binyam
- letra de we come and we go - brennan heart
- letra de routes - j camilo
- letra de divina malícia - alcione