
letra de nishachoka - harmonize
kila chenye marefu na mapana huwaga hakikosi mwisho
yanini kurumbana kukicha bila suluhisho
wenda kisicho ridhiki hakiliki sa ya nini tutoane roho
nimepungukiwa kipi mbna naishi sina ata jiba la roho
na ule utwana wa mapenzi kushindana mi na ww
niliuvumilia na sijaona tamaa
sio kama siwezi kupata alie zaidi ya wewe
ila hii dunia na najichunga sanaa
tena naandika huu wimbo usijpe moyo labda nakufikiria
nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunifatilia
naandika huu wimbo usijipe moyo labda nakuwaza sana
nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunilili.(eeh)
nishachoka nishachoka nishachoka wacha ukweli nikwambie
yani kukicha vijembe (nishachoka) dharau maneno
(nishachoka) ooh masimango nishachoka wacha ukweli nikwambie
nimechoshwa nawe
kila donda lina historia badala ya moto majivu
mangapi niliyavumilia adi nkakonda kwa wivu
kipato cha jasho langu ulikidharau na kukinyanyasa kisa anasa
angalau mm nshakuzoea
dharau mama yangu hajakukosea
huwaga navuta taswira ule utumwa wa penzi lako
mpk najiona taira
kuyahifadhi mabaya yako
ukimjinga pedi unamatilapa nikapenda
upepo kwenye begi
au maji ndani ya tenga
“repeat chorus”
end
letras aleatórias
- letra de s.a.d. - rain (uk)
- letra de 늦은 끝 (last goodbye) - wonpil
- letra de i can't go on - n.v. (freestyle)
- letra de be still my soul - charity herrmann
- letra de coo wit me - rayven justice
- letra de watchout dab - g-tribe
- letra de the palpable leprosy of pollution (ft. bill williams) - infant annihilator
- letra de everything that i wanted to be - audrey sherman
- letra de jack the ripper - cadenxa
- letra de los replicantes - miss caffeina