letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kainama - harmonize

Loading...

konde boy…
they call me burna..
it’s platnumzz…

[verse 1; burna boy]
eeeh eeeh, eeeh eeeh
you de make me sit down sing this song (lala lala)
you come to make me feel like i do you wrong(jaga jaga)
if you want am a go give you more(jana jana)
today today, you go give me love (sawa sawa)
eeeh eeeh
nasifiwa kwa mapenzi na mademu, wanapagawa mpaka wananiita handsome
burna boy, chata kila sehemu, wanapagawa mpaka wananiita handsome
nasifiwa kwa mapenzi na mademu, wanapagawa mpaka wananiita handsome
konde boy, chata kila sehemu, wanapagawa mpaka wananiita

[hook; harmonize]
hadi kaburu kwa mandela, rudi kwa bibi kinondoni
amber lulu kunja dera, mwanangu gigy simuoni
aje, ainama
mama, ainuka
baby show them, ainama
eheeee, aishika ukuta
waonyeshe ulivofunzwa, ainama
iiih go down baby, ainuka

[bridge & hook; harmonize]
she de burst my mind, ooooh ooooh
n-body s-xy like my baby
tena mwepesi akiwa kwa bed
iiiih
hadi kaburu kwa mandela, rudi kwa bibi kinondoni
amber lulu kunja dera, mwanangu gigy simuoni
aje, ainama
mama, ainuka
baby show them, aianama
eheeee, aishika ukuta
waonyeshe ulivofunzwa, ainama
iiih go down baby, ainuka
give it to them baby, ainama
eehee, aishika ukuta

[verse 2; diamond platnumz]
brooke (ruksa kutunza)
oh god d-mn, mtoto nyaupole, ana vimacho mlegezo gorole
katika gemu, funga tu goli, hatumalizagi mchezo ka igoli
kilima kilima (panda kilima), bebi kilima
kisima kisima (mamba kisima), naingia kisima..
nizame mpaka chini, ooooh ohoooo ohoo
ebo, yaani katoto kachafu kama bata, eeeeh eeeeeh
aaah aaah nami nakafanya ndafu nakang’ata
salamu ziende wanjara, don masha kitasa kwenyevu nyevu
waambie simba kacharara, anataka msambwanda kwa buku jero

[bridge; harmonize]
aje, ainama
mama, ainuka
baby show them, aianama
eheeee, aishika ukuta
waonyeshe ulivofunzwa, ainama
iiih go down baby, ainuka
give it to them baby, ainama
eehee, aishika ukuta
iiiih.. ruksa kutunza

[hook; burna boy & diamond platnumz]
eeeh eeeh
nasifiwa kwa mapenzi na mademu, wanapagawa mpaka wananiita handsome
burna boy, chata kila sehemu, wanapagawa mpaka wananiita handsome
brooke
nasifika kwa mapenzi na mademu, wanapagawa mpaka wananiita handsome
simba, mabishoo huniita shemu vile mademu zao nawapita, handsome

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...